Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Alienda kwa njia ya ukimbizi akitokea kambi ya Zimbabwe,akiwa na familia yake,Mke na watoto wanne pamoja na shemeji yake wa kike....aliondoka Tanzania mwaka 2006 kafika Marekani mwaka 2016....kakaa kambini Zimbabwe miaka 10.

Aliondoka Bongo Ana miaka karibu 50.

Leo hii Ana miaka 60+,hakuwa na elimu pamoja na Mke wake,watoto ndio walipofika kule wakaendelea kusoma,Ila kwa Sasa wakubwa wanafanya kazi,watoto wadogo ndio wanasoma.

Alipofika kule walikuwa wanapiga vibarua Ila kwa Sasa yeye Hana uwezo wa kufanya kazi,Mke ndio anaendelea kupiga vibarua...kajenga Nyumba mbili na maduka...Hana elimu yeyote...Hadi Mambo mengine ya huko US anaelekezwa na watu wa huku.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂😂 .Wabongo tunachukulia maisha marahisi sana kama tumezaliwa ulaya.
 
Tafadhali nishauri mm nin nifanye,
Nina uncle wangu yupo USA, hataki kabisa habari za kumwabia anivute niende alipo(USA)

Nimeongea saana hataki,yeye anagari nne za masafa marefu nilijarib hata kusema nae anifanyie kunisapot hata kwa ghrama za rafiki zake ni wasomali, nikija niwe chin ya mkataba wa hao jamaa zake mpka hapo tutakapo maliza gharama zao walizonitumia mpka nafika USA bado ni mgum kuelewa. Hiv tunavyosema gar mbili zipo uwani na ni nzima ana dai akipata dereva Leo , trip anayorud gari anakuja kupak watu anao wapata hawataki kazi

IMG-20231010-WA0003.jpg

View attachment 2821979View attachment 2821980
 
View attachment 2821962

Unataka ushauriwe nini mkuu?
 
Tafuta hela kwanza huku huku Nyumbani usichague kazi. Halafu ukipata kama milioni tano mpigie simu uncle umwambie una kianzio akusaidie uende huko. Pia unaweza ukacheki mitandaoni kama youtube, kuna watu wengi wanatoa taarifa za Marekani aina za Visa na jinsi ya kuanza maisha huko. Kuna wakenya, watanzania n.k kama unajua kiingereza vizuri kuna watu wengi youtube wanaweza kukusaidia. Kama hauna elimu au cheti cha taaaluma yoyote hakikisha una hela Maana hakuna mtu atakubali kukupa suppport ya moja kwa moja. Wengi wao waliopo Marekani wakijua hauna hivyo vitu wanaogopa maana wanajua ukifika utakuwa mzigo. Kwa kuwa itakuwia vigumu kubadilisha hadhi ya Visa yako ya Marekani.
 
Mimi nahitaji kwenda nje kupitia agent then nikipata kazi atadeduct gharama zake alizotumia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kama unawazia kuingia uko kwa njia hiyo,ni lazima utafia bongo.andaa kwanzia M2 ya bongo hapo ni Dubai,au M5 kwa ulaya,Napo upate mtu uko,au M10 uende ukiwa umekamilika bila changamoto
 
Tafuta hela kwanza huku huku Nyumbani usichague kazi. Halafu ukipata kama milioni tano mpigie simu uncle umwambie una kianzio akusaidie uende huko. Pia unaweza ukacheki mitandaoni kama youtube, kuna watu wengi wanatoa taarifa za Marekani aina za Visa na jinsi ya kuanza maisha huko. Kuna wakenya, watanzania n.k kama unajua kiingereza vizuri kuna watu wengi youtube wanaweza kukusaidia. Kama hauna elimu au cheti cha taaaluma yoyote hakikisha una hela Maana hakuna mtu atakubali kukupa suppport ya moja kwa moja. Wengi wao waliopo Marekani wakijua hauna hivyo vitu wanaogopa maana wanajua ukifika utakuwa mzigo. Kwa kuwa itakuwia vigumu kubadilisha hadhi ya Visa yako ya Marekani.
Uko wapi saivi ndugu,upo Germany?Kama upo uko na bado haujabadilika Sana nisaidie barua ya mualiko tu,alafu visa na tiketi nijuu yangu,alafu unisaidie kuniifadhi wiki tu,na nkifanikisha ntakulipa gharama hata Mara mbili ya utazotumia ,maana napata kazi nyingi uko,ila naambiwa niende kwenye interview hapo ndo nakwama.
 
Ndugu yangu kuna kazi ambazo ziko Visa sponsored kama umekwama fika Goethe institute watakushauri. Interview zinafanyika online hata huku pia since Corona watu wanatumia Microsoft Teams na Zoom kufanya interview. Kusema kwamba umeitwa physically kwenye interview wakati wanajua upo Tanzania inaonesha kuwa bado hauja-apply kazi.
 
Mimi

Hizo kazi nazijua,ila naelewa ilivyo ngumu kupata kazi ukiwa africa.mimi nachoomba kwako ni barua ya mualiko tu na msaada wa kuniifadhi ntapofika,na ntakulipa hata Mara 2,je waweza nisaidia?
 
Kaka huku ujerumani iliwe uwe na uwezo wa kutoa barua ya mwaliko inabidi uwe na nyumba kubwa kidogo na pia uwena uwezo kiasi wa kifedha. Kwa sasa mimi ni mwanafunzi pia nina intern, na ninaishi kwenye studio apartment. Kwa hio sina vigezo vya kukupa barua ya mwaliko.
 
Back
Top Bottom