Kama una mke au demu kibarua viwandani umeumia

Hawa viumbe wanagawa sana uroda ili waendelee kufanya kazi ktk viwanda hasa vibarua maana asipofanya hivyo lazima siku inayofuata atafukuzwa na kuchukuliwa mwingine ma supur visor wanakutumia cheo chao hicho kuwabamiza sana wanawake hapa sasa ndo panatokea mtu kulea mtoto ambae sio wake

Hakuna mwanamke atakae ingia kama kibarua halafu atoke salama ndugu zangu haya mambo nimeyashuhudia na wanawake wahanga wa hili jambo waliooa halafu wake zao ni vibarua viwandani huko poleni sana.
Wewe ni kibarua?
 
Ukitaka amani na furaha ww mwanaume, mke wako awe home na ww pigana kufa kupona kutafuta mali na kutunza familia, mama akusaidie kidogo tu ukitoka nae ktk biashara za home ila asitoke peke yake kamwe.. Awe muda mwingi home na biashara zenu akitaka kutoka mnakuwa wote.. Hapo ndoa itanoga.. Dunia imekuwa chafu kuliko mjuavyo
Ndo mana kuna jamaa yangu aligoma mkewe afanye kazi alijua hili.
 
Kila sehemu, hata kwenye daladala tunawatongoza tu wake zenu
Mkuu sasa tufanyeje,mwanamke akiwa na gari shida,daladala shida,akipanda bajaji shida,uber nayo shida ,akitambea kwa miguu magari yanamsimamisha yampe lift.
Hapa cha muhimu ni kuendelea na maisha yetu ya kila siku ,hawa viumbe hawajui wanataka nini na wakati gani.
 
Hawa viumbe wanagawa sana uroda ili waendelee kufanya kazi ktk viwanda hasa vibarua maana asipofanya hivyo lazima siku inayofuata atafukuzwa na kuchukuliwa mwingine ma supur visor wanakutumia cheo chao hicho kuwabamiza sana wanawake hapa sasa ndo panatokea mtu kulea mtoto ambae sio wake

Hakuna mwanamke atakae ingia kama kibarua halafu atoke salama ndugu zangu haya mambo nimeyashuhudia na wanawake wahanga wa hili jambo waliooa halafu wake zao ni vibarua viwandani huko poleni sana.
Hakuna laana mbaya kama kumtumia mtu kingono ili iwe kama kinga ya kutofukuzwa kazi
Atafanya hivyo tena pengine kwa tabasamu lakini moyoni anabubujika sumu ya chuki
 
Naishi huku Viwandani......njia ya Jeti....ukitaka Kazi mwanaume uandae pesa mwanamke Papuchi...ni jambo la kawaida kwa Mohamed pale...kinachoniuma wanawake wanoingiaga pale wazuri kweli yani :oops::rolleyes:
 
Back
Top Bottom