Kama una mke au demu kibarua viwandani umeumia

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Hawa viumbe wanagawa sana uroda ili waendelee kufanya kazi ktk viwanda hasa vibarua maana asipofanya hivyo lazima siku inayofuata atafukuzwa na kuchukuliwa mwingine ma supur visor wanakutumia cheo chao hicho kuwabamiza sana wanawake hapa sasa ndo panatokea mtu kulea mtoto ambae sio wake

Hakuna mwanamke atakae ingia kama kibarua halafu atoke salama ndugu zangu haya mambo nimeyashuhudia na wanawake wahanga wa hili jambo waliooa halafu wake zao ni vibarua viwandani huko poleni sana.
 
Kaza moyo mkuu vinginevyo hautamruhusu shemeji aende hata sokoni. Vinginevyo, huyo sio rizki yako. Akitaka kugawa, hata ukimfungia ndani atagawa tu.
 
Mbona hujaongelea wauza nyama buchani, na magengeni kwa wauza nyanya wee wapo vizuri wale wanahonga nyanya na nyama km wanapewa bure, mkeo akija gengeni lazma ashikweshikwe na anachekelea tu anajua baadae gem kali
 
Ukitaka amani na furaha ww mwanaume, mke wako awe home na ww pigana kufa kupona kutafuta mali na kutunza familia, mama akusaidie kidogo tu ukitoka nae ktk biashara za home ila asitoke peke yake kamwe.. Awe muda mwingi home na biashara zenu akitaka kutoka mnakuwa wote.. Hapo ndoa itanoga.. Dunia imekuwa chafu kuliko mjuavyo
 
Mbona hujaongelea wauza nyama buchani, na magengeni kwa wauza nyanya wee wapo vizuri wale wanahonga nyanya na nyama km wanapewa bure, mkeo akija gengeni lazma ashikweshikwe na anachekelea tu anajua baadae gem kali
Boda boda, mpaka rangi, kijana wa kazi, jirani, aliuesoma nae zamani, shemeji yake, instructor wa gym, instructor wa drivimg school, mchungaji nyumba ya ibada, wama kwaya wenzake, akimpeleka mtoto akapande school basi, jogging clubs ETC
itaumiza kichwa, ni kila mahali wanaliwa.
 
Hawa viumbe wanagawa sana uroda ili waendelee kufanya kazi ktk viwanda hasa vibarua maana asipofanya hivyo lazima siku inayofuata atafukuzwa na kuchukuliwa mwingine ma supur visor wanakutumia cheo chao hicho kuwabamiza sana wanawake hapa sasa ndo panatokea mtu kulea mtoto ambae sio wake

Hakuna mwanamke atakae ingia kama kibarua halafu atoke salama ndugu zangu haya mambo nimeyashuhudia na wanawake wahanga wa hili jambo waliooa halafu wake zao ni vibarua viwandani huko poleni sana.
Popote tu mwanamke akiamua kuliwa analiwa tu mkuu labda uwe naye kila sehemu masaa 24
 
Back
Top Bottom