Kama una mke au demu kibarua viwandani umeumia

hata wa kwako anatongozwa, uwe umeoa au unatarajia, wakati unabamoza wa mtu na wakwako naye anahemea juu juu kwa mwanaume mwingine
Yah huwa hata siwazi hivyo vitu, najua hamna kitu kitakachonitoa kwenye reli km kumfikiria mke anafanya nn sahv, so acha apige mishe
 
Hawa viumbe wanagawa sana uroda ili waendelee kufanya kazi ktk viwanda hasa vibarua maana asipofanya hivyo lazima siku inayofuata atafukuzwa na kuchukuliwa mwingine ma supur visor wanakutumia cheo chao hicho kuwabamiza sana wanawake hapa sasa ndo panatokea mtu kulea mtoto ambae sio wake

Hakuna mwanamke atakae ingia kama kibarua halafu atoke salama ndugu zangu haya mambo nimeyashuhudia na wanawake wahanga wa hili jambo waliooa halafu wake zao ni vibarua viwandani huko poleni sana.
na pale bandarini ndio wanaliwa kwa speed kali kama mchwa anavyokula mbao tena kwa kigezo cha kuongopewa watapewa ajira
 
Daah , mmesahau walimu na madaktari, wake zenu wanapigika hata chumba cha daktari..... pia hata ofisi za walimu vyuoni..... Viongozi wa kwaya na makanisa na zaidi .... NACHUKIA KUOA
Mi mwenyewe mkuu nachukia sana kuoa
 
Naishi huku Viwandani......njia ya Jeti....ukitaka Kazi mwanaume uandae pesa mwanamke Papuchi...ni jambo la kawaida kwa Mohamed pale...kinachoniuma wanawake wanoingiaga pale wazuri kweli yani :oops::rolleyes:
Huko mkuu ni balaa wanaliwa sana hasa sila africa kiwanda cha kutengenea matenki ya maji
 
Ukitaka amani na furaha ww mwanaume, mke wako awe home na ww pigana kufa kupona kutafuta mali na kutunza familia, mama akusaidie kidogo tu ukitoka nae ktk biashara za home ila asitoke peke yake kamwe.. Awe muda mwingi home na biashara zenu akitaka kutoka mnakuwa wote.. Hapo ndoa itanoga.. Dunia imekuwa chafu kuliko mjuavyo
Labda usiwe unasafiri na yeye akisafiri usafiri naye
 
Kwa mwendo huu tutakuwa hatuoi
Na wenye wake wakigundua njia ya kuoa ndio tutaoa, wanajirahisisha sana wake za watu, sijui shida ni nini ..... Mimi niliambiwa mwanaume anafanya ngono muda wowote ila mwanamke hadi awe na hisia na wewe , cha ajabu wanahisia na kila mtu sasa .... wanamegwa hadi naona huruma ..


Speaking from experience
 
Mkuu sasa tufanyeje,mwanamke akiwa na gari shida,daladala shida,akipanda bajaji shida,uber nayo shida ,akitambea kwa miguu magari yanamsimamisha yampe lift.
Hapa cha muhimu ni kuendelea na maisha yetu ya kila siku ,hawa viumbe hawajui wanataka nini na wakati gani.
Solution kutokuoa
 
Ma supervisor tunafaidi sana, wengine wanajilengesha bila hata mimi kutaka ila simuachi salama
 
Kuna viwanda vingine masupavaiza wapo vizuri hawana mihemko ya ngono ya kutaka vichenchede vya viwandani.
 
Back
Top Bottom