Kama una milioni 15,500,000/: nitafute haraka upate nyumba nzuri ya kuishi bunju B

Kiumbe duni

Senior Member
Dec 3, 2011
100
8
Nyumba hii imebakia kupauliwa, ina vyumba 3, jiko, sitingroom, dining na vyoo ndani. Ipo bunju b kama mita 500 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo. Haina dalali ni ya jamaa yangu wa karibu sana ana matatzo na mweza wake wanataka kuuza wagawane. Kama unahitaji wahi haraka haiwezi kuchukua siku mbili sokoni, ni bei rahisi sana haina mfano. Cell 0713664326.
 
mpendwa,

milioni 15,500,000/- unazijua ni shilingi ngapi? hizo mbona ni pesa za kuinunu dsm yote??

hebu fafanua vizuri,

ubarikiwe sana

Glory to God!
 
Hahahahaaaa hata mi ndo nilitaka kumambia kuwa hizo milioni unamnunua hadi yeye
 
Kwa ukubwa huo si km nyumba imejaa kiwanja chote...weka picha tuone

Ni kweli imebaki sehemu ya kuchimba choo na kuanikia nguo. lkn kama una mshiko wa kutosha unaongeza kipande kidogo kwa jirani. Usijechoma nauli ukazani kiwanja kilichobaki ni kikubwa. Kiumbe duni ni msema kweli siku zote
 
Weka picha, uzuri unatofautiana kati ya mtu mmoja Na mwingine
 
Nyumba hii imebakia kupauliwa, ina vyumba 3, jiko, sitingroom, dining na vyoo ndani. Ipo bunju b kama mita 500 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo. Haina dalali ni ya jamaa yangu wa karibu sana ana matatzo na mweza wake wanataka kuuza wagawane. Kama unahitaji wahi haraka haiwezi kuchukua siku mbili sokoni, ni bei rahisi sana haina mfano. Cell 0713664326.

Mkuu Kiumbe duni,
Nasikia kaharufu ka mgogoro kuhamishiwa kwa mnunuzi!!
Anyway, nawatakia kila la kheri wenye fedha zao!!
 
Nyumba hii imebakia kupauliwa, ina vyumba 3, jiko, sitingroom, dining na vyoo ndani. Ipo bunju b kama mita 500 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo. Haina dalali ni ya jamaa yangu wa karibu sana ana matatzo na mweza wake wanataka kuuza wagawane. Kama unahitaji wahi haraka haiwezi kuchukua siku mbili sokoni, ni bei rahisi sana haina mfano. Cell 0713664326.
Mkuu kama hujapaua hiyo haijawa nyumba bado

unaweza kuweka picha??
 
Weka picha, uzuri unatofautiana kati ya mtu mmoja Na mwingine

Kwa bei hii haina haja ya kupoteza muda wangu kuweka picha. Nimeshapokea maombi mengi sana na kuna watu kama watano tofauti watakuja kukiona leo alhamisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom