Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,213 Reaction score 75,784 Jan 10, 2021 #21 Jaiter said: Kuna ambao hatuna 40 ila maisha magumu tuliyonayo tunalazimika kuzingatia ushauri huu. Thanks Pdidy Click to expand... Nilikuwa Hospital Ya Mkoa Dodoma Nikakutana Na Mtoto Miaka 3 Akiwa Na Mama Yake Kavimba Mashavu Nilipomuuliza Mama Yake Akasema Anasumbuliwa Na Figo Tuchukue Tahadhali Inapobidi Ila Mtoto Alizaliwa Na Hayo Maradhi Ni Tangu Tumboni
Jaiter said: Kuna ambao hatuna 40 ila maisha magumu tuliyonayo tunalazimika kuzingatia ushauri huu. Thanks Pdidy Click to expand... Nilikuwa Hospital Ya Mkoa Dodoma Nikakutana Na Mtoto Miaka 3 Akiwa Na Mama Yake Kavimba Mashavu Nilipomuuliza Mama Yake Akasema Anasumbuliwa Na Figo Tuchukue Tahadhali Inapobidi Ila Mtoto Alizaliwa Na Hayo Maradhi Ni Tangu Tumboni