The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,226
Chini Pana zegeIkiwa unakojoaga kitandani itakuaje π
Hayo masofa si yataloa na mkojo?Chini Pana zege
Kivipi wkat juu ni zege,unakojoa pipaHayo masofa si yataloa na mkojo?
πππππUkipata mwanamke mnene hapo wote mnaanguka π
Dah! Mbona mimi naona ni chuma zimepachikwa ukutani kisha wakaweka kigodoro cha wanachuo?Kivipi wkat juu ni zege,unakojoa pipa
Unaweza ukatengeneza cha kuhama nacho unaweka bomba nguzo kwa chini za kufungua na kufungaKufanya hivyo,chumba kinatakiwa kiwe kwenye kiwanja chako,au mwenye vyumba awe ameshafanya mwenyewe.wewe ni kuingia tu na begi lako!
Nimechanganya picha,hio kama we ni kikojozi unaweza nailoni chiniDah! Mbona mimi naona ni chuma zimepachikwa ukutani kisha wakaweka kigodoro cha wanachuo?
Nimekumbuka mbali sana.... Mademu wanaokojoa kitandani ni watam kwerikweriNimechanganya picha,hio kama we ni kikojozi unaweza nailoni chini