Kama una akili nyingi soma hapa

Kama una akili nyingi soma hapa

Kwenye list ya wenye akili nyingi na wewe hupo?mtoa mada unaleta fasihi ya darasa la saba na yakizamani mnoo.
 
inakupasa utubu maana mchunga kondoo aliepita mlimtukana sana mkisema hafai , makosa hayo inawapas muombe toba kwa Mungu mwenye enzi
 
Nafikiri wewe utakuwa ni mbuzi..! maana huwezi kuhitaji ushauri ufanye nini wkt unawapenda kondoo wako!,hata hivyo unamamlaka gani ya kumpindua mchungaji mpk uombe ushauri wa uamuzi wa kumtenda mchungaji..?
 
Back
Top Bottom