Kama umetumia hii siku wewe ni mzee

Kama umetumia hii siku wewe ni mzee

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Ni muhenga
20190609_143716.jpeg
20190609_143727.jpeg
 
Kunawengine zilikuwepo nyumbani enzi zaudogo kabisa umri sawa Na vijana waleo nao unawaingiza humu Kwa ishu yakukijua kitu nakukitumia mapema kuliko wasigimbi
 
Enzi zile dingi anafunga kwenye namba risiva iko nje tulikuwa tunapiga kwa kubonyeza kile kitufe namba unayohitaji na simu inapokelewa mnaongea wee.alikuja kushtuka bill kuwa kubwa akienda posta wanaanza kumtajia ulipiga sehemu hii na hii wakati yeye hakupiga.tulipewa kibano tueleze nani anayechezea sim dogo akaona isiwe nongwa niumie wakati wanaopiga tupo akatutaja kilichofuatia hapo siri yangu
 
Ofisini kwetu hadi leo ipo getini pale! Ukifika unanihitaji Afande msilu anaikokotoa kuja kwangu kwanza kabla hajakuruhusu uingie! Ofcourse mimi ni mzee baba!!
 
Hio ilikua inapigwa kofuli kwenye 0 Ili isizunguruke ila bado tulitafuta njia ya kubypass piga sana simu radio one kutuma salam
Umenikumbusha mbali sana mkuu [emoji23]
 
Enzi zile dingi anafunga kwenye namba risiva iko nje tulikuwa tunapiga kwa kubonyeza kile kitufe namba unayohitaji na simu inapokelewa mnaongea wee.alikuja kushtuka bill kuwa kubwa akienda posta wanaanza kumtajia ulipiga sehemu hii na hii wakati yeye hakupiga.tulipewa kibano tueleze nani anayechezea sim dogo akaona isiwe nongwa niumie wakati wanaopiga tupo akatutaja kilichofuatia hapo siri yangu
Mlikula mboko za kutosha I'm sure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom