JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
inaitwa masters degree na sio Master degree japo grammatically inatakiwa iandikwe master's degree ...Hivi inaitwa Master degree au Masters degree? Fafanua kidogo hapo
Hahaha kiufupi yote hayakuwa sahihi. Shukrani mkuuinaitwa masters degree na sio Master degree japo grammatically inatakiwa iandikwe master's degree ...
course work first year,dissertation second yearKuna masters ya dissertaion na nyingine za course work. Kwa hiyo inategemea unataka ipi
Ndio. Ila kuna masters ya coursework+dissertation alafu kuna masters ya coursework only. But coursework+dissertation ndio nzuri ila inasumbua sanacourse work first year,dissertation second year
inasumbua kwenye nini?Ndio. Ila kuna masters ya coursework+dissertation alafu kuna masters ya coursework only. But coursework+dissertation ndio nzuri ila inasumbua sana
Dissertation mkuu. Si unaona hapo ukimaliza mambi ya darasani ujipange tena kukimbizana na supervisor mambo ya research. Hapo ndio utajua kusoma bongo kama ni noma. Kuna mshikaji wangu alikataaga scholarship ya kwenda kusoma masters south africa akaamua kusoma bongo. Alimaliza likini alijuta.inasumbua kwenye nini?
hakikaDissertation mkuu. Si unaona hapo ukimaliza mambi ya darasani ujipange tena kukimbizana na supervisor mambo ya research. Hapo ndio utajua kusoma bongo kama ni noma. Kuna mshikaji wangu alikataaga scholarship ya kwenda kusoma masters south africa akaamua kusoma bongo. Alimaliza likini alijuta.
ThanksKama walivyosema kuna Masters dissertation na ya research paper(taught masters)
It all depends on what you want to do in future with it.
For academicians better do the one with the dissertation. But for non-academicians the other one is the best.
Bachelor is taugher compared to masters.
(As long as you have a good foundation of the Masters you are doing, masters becomes short and sweet).
shukranKwa upande wangu,
Bachelor ni mshike mshike aisee, kama umetoboa vizuri Bachelor basi Masters ni mteremko, shida tu utakutana nayo kwenye Reasearch Thesis. (Ila kama umefanya LLB, hata research utatoboa tu)
Degree hua mtu unakua umetoka high school, kichwa bado kimezoea maswala ya masomo machache unakuja kukutana na mabalaa mapya ya masomo ambayo hujawahi hata kuyasikia mengine. Inabidi ukiseti kichwa upya.
Masters unaingia kwa undani zaidi maswala uliosoma kwenye Degree yako, picha halisi unayo tayari kichwani.
shukran sanaMaster's ni rahisi zaidi kuliko Bachelor kwa upande wangu. Kitu cha msingi chagua MSc program ambayo unabackground ya kutosha. Hakikisha unaingia Field ambayo unaijua if not at least ulipiga masomo kadhaa kipindi cha bachelor. Ukifanya hivyo hutapata shida mwaka wa kwanza ambao ni wa course work (darasani).
Mwaka wa kwanza, apart from course work, kutakua na kuandaaa research idea then research proposal. Hapa ndipo pa kuwa makini. Hakikisha unapata research ambayo haitakupa shida baadaye kwenye kukusanya data, kuzianalyse na kuandika. Soma sana. Ukifanikiwa hapo, mwaka wa pili hautapata shida (sana).
Kwa kifupi; 1) Soma kozi unayoijua/strong background
2) Wakati unadevelop research proposal hakikisha unaelewa unachokiandika cause utautumia mwaka wa pili kukifanya.
Kila la heri Mkuu.