Kama Umeshakutana na "Postal Code" na Huzijui SOMA HII

cuth_chris

Member
Jul 4, 2016
51
47
Habari za Asubuhi wanaJamii
Ni matumaini yangu mko vyema kabisa. Leo katika pitapita yangu mtandaoni nimekumbana na list ya Postal Codes zote hapa Tanzania.

Kwa wale wasiofahamu Postal Code ni nini, Well hii ni namba ya "Utambulisho wa Mahali" na hutumiwa hasa kwenye masuala ya usafirishaji wa mizigo au bidhaa.

Hii ni namba unique ambayo itamjuza mtu anayetuma mzigo au bidhaa wapi unapatikana....

Tuko Sawa...?? Fanya sasa kupitia na ikiwezekana Download Hiyo List hapo chini

Ahsante na muwe na siku njema..!!View attachment Combined-Postcode-List_Final.pdf

Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom