Kama umeoa au haujaoa take this

Issue ni kuwa return sisi kwetu ni constant maana our worth haiendi kizembe our fruit of our labour tunaweza ku enjoy hata on our 50's na kupata mwanamke fresh

Ila nyie above 35 tu tayari umeshakuwa kama gari bovu leo limewaka kesho limezima
Hizi brainwashed ideas zinafanya kazi kwa dada zako mwaya sio kwangu.

Utachoka na utalala na kiu, Hii ni namba tofauti.
 
Kama unafurahia kupokea taarifa za misiba jifunze kuzipokea na taarifa za sherehe pia kwa sababu misiba na sherehe vyote vipo!
Hiyo ni false equivalence, kuwepo kwa misiba na sherehe hakufanyi hisia, uzito wala namna ya kuzipokea ziwe sawa.

Kila jambo lina muktadha wake,kusema vyote vipo, si hoja ya kuthibitisha kwamba vinapaswa kupokelewa kwa namna ileile.
 
Hizi brainwashed ideas zinafanya kazi kwa dada zako mwaya sio kwangu.

Utachoka na utalala na kiu, Hii ni namba tofauti.
Nakwambia hivi wewe dada yangu hawezi kuwa kama wewe uliyechezea ujana wako

She's still young under well parental care, sio wewe uliye kuwa unataka tapa kusoma psychological indoctrination zilizo kufanya ukose link na your feminine qualities..

Mda wako una karibia tamati, amka sasa upate angalau raha kwa kidogo ulicho bakiza
 
Nakuhakikishia utaishiwa matusi, i won’t stoop to your level.

Kwahiyo mwanetu ulikuwa unajaribu kusemaje?????

Teh.
Hayo sio matusi bali ni kukuonesha kuwa huna akili za kujua wanaume are working day and night to feed you hasa ulivyo kuwa mdogo, na hata kama ukiishi na singo mama, alipewa matumizi ya jasho la mwanaume.. Soo hicho kiburi ulicho nacho ni laana.
 
Hiyo ni false equivalence, kuwepo kwa misiba na sherehe hakufanyi hisia, uzito wala namna ya kuzipokea ziwe sawa.

Kila jambo lina muktadha wake,kusema vyote vipo, si hoja ya kuthibitisha kwamba vinapaswa kupokelewa kwa namna ileile.
Nadhani umenielewa hata kama hujakubaliana na nilichokisema!
 
Nakwambia hivi wewe dada yangu hawezi kuwa kama wewe uliyechezea ujana wako
Hili kutoka kwako kwa kweli halina uzito wowote, Masikini hujui tu…

She's still young under well parental care, sio wewe uliye kuwa unataka tapa kusoma psychological indoctrination zilizo kufanya ukose link na your feminine qualities
You are real pressed 😂😂 Soma pia, Elimu ni bure kuanzia primary hadi kidato cha 4.

..

Mda wako una karibia tamati, amka sasa upate angalau raha kwa kidogo ulicho bakiza
Hiyo raha unaweza kupata wewe pia.
 
Nasema na nitazidi kusema " hakuna elimu ya ndoa, ila ndoa ndio inatoa elimu na kila mtu atapata elimu yake kadiri anavyotaka ajifunze nini"
 
Hayo sio matusi bali ni kukionesha kuwa huna akili za kujua wanaume are working day and night to feed you hasa ulivyo kuwa mdogo, na hata kama ukiishi na singo mama, alipewa matumizi ya jasho la mwanaume.. Soo hicho kiburi ulicho nacho ni laana.
Nimelaanika basi, Are you happy now?

Matatizo yako yameisha? Kama bado endelea mpaka upone….

I’m very good at giving people like you a punch bag.
 
Hili kutoka kwako kwa kweli halina uzito wowote, Masikini hujui tu…

You are real pressed 😂😂 Soma pia, Elimu ni bure kuanzia primary hadi kidato cha 4.

Hiyo raha unaweza kupata wewe pia.
Sasa unataka kuniambia kipindi Unasoma elimu ilikuwa bure wewe ndumira kuwili?

Siko pressed bali nakupa makavu wewe mpenda shotcut

Huna hoja sasa, ila tambua wanaume wa leo sio wajinga kukubali upuuzi wenu
 
Nimelaanika basi, Are you happy now?

Matatizo yako yameisha? Kama bado endelea mpaka upone….

I’m very good at giving people like you a punch bag.
Not giving a punch bag, but understanding that ukweli Kamwe haupingiki hata iweje
Unadhani your delulu lifestyle will get you any where, kumbe unajitafutita unnecessary suffering
 
Sasa unataka kuniambia kipindi Unasoma elimu ilikuwa bure wewe ndumira kuwili?

Siko pressed bali nakupa makavu wewe mpenda shotcut

Huna hoja sasa, ila tambua wanaume wa leo sio wajinga kukubali upuuzi wenu
Usituseme bwashee, mtoto mzuri kama binti wa kiziwi hakuna fala ataacha kumkubali😅

Note:Usinichokeze nalewa🤣
 
Sasa unataka kuniambia kipindi Unasoma elimu ilikuwa bure wewe ndumira kuwili?
Seriously huwa natamani uwe unaelewa unachokiongea, unfortunately for you.

Siko pressed bali nakupa makavu wewe mpenda shotcut
Teh
Huna hoja sasa, ila tambua wanaume wa leo sio wajinga kukubali upuuzi wenu
Sijui hata unazungumzia nini….. Sina ugomvi na wanaume, labda kama una refer kitu kingine.
 
Seriously huwa natamani uwe unaelewa unachokiongea, unfortunately for you.

Teh

Sijui hata unazungumzia nini….. Sina ugomvi na wanaume, labda kama una refer kitu kingine.
NKwambia hivi,

You'll keep being trash, usipo amka kifikra na kihisia

Sasa naona hata maneno huna,

Ila jua kuwa I'm rooting to see you change otherwise utanikimbia tu
 
Not giving a punch bag, but understanding that ukweli Kamwe haupingiki hata iweje
Unadhani your delulu lifestyle will get you any where, kumbe unajitafutita unnecessary suffering
If not giving you a punch bag, basi endorsing your stupidity. Yote haya yanafanya kazi moja. And that’s JF for you 😂😂

Yule mtoto/ mdogo wako ambaye yuko well parentified ndio unatakiwa ujali kuhusu lifestyle yake. Yangu haikusaidii kitu.
 
Sitaki I nisaidie nataka ikusaidie wewe uliyepotea ndani ya psychology uchwara

Wewe tusipo kuangalia utawanywesha generation ijayo sumu ya feminism

Ndo nyie mlio kosa upendo mnapenda kuharibu kizazi kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…