Kama umeoa au haujaoa take this

Sikia nilikuwa na kujaribu tu wewe danda head uliyefura

Heaven uitoe wapi kichwa mbaya wewe..

Home? Kwa akili hizi nani akupende na trauma response hizi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unijaribu utaniweza unafikiri? Bado … go dig!
 
Trolling, a last resort of a failured bully! 😈
Am not bullying you, am just waking the shit out of you. You needed that pain in the ass. So that uamke na uache kuji mwambafy kwenye hamna
 
Jambo ni moja KATAA NDOA. Kwanini uteseke kufanya hayo yote wakati option rahisi tu ipo
 
Am not bullying you, am just waking the shit out of you. You needed that pain in the ass. So that uamke na uache kuji mwambafy kwenye hamna
Unlike you, hii sio platform ya kujimwambafy if any..

Ni sehemu ya kushare opinions, kama haujapenda deal with that.

Ulizaliwa lini uje uni-awaken mimi? Hiyo moral authority umetoa wapi ikiwa kudhibiti hasira zako mwenyewe tu huwezi?

Hivi wewe????? Ngoja nione kama natakiwa kuendelea kujibizana na wewe, tbh.
 
Sasa naona umeanza kuaga mdogo mdogo

Imenibidi maana watu kama nyie ni mwiba kwa jamii na kizazi kijachoo

Huwezi, unajaribu kudhani unaweza. Nenda kawape taarifa wote ya kuwa mimi sio wa kuchezea
 
Sasa naona umeanza kuaga mdogo mdogo

Imenibidi maana watu kama nyie ni mwiba kwa jamii na kizazi kijachoo

Huwezi, unajaribu kudhani unaweza. Nenda kawape taarifa wote ya kuwa mimi sio wa kuchezea
You wish!

Umegundua nini? Huwa naondoka nikiamua, you real can’t tell me shit nikafanya especially nikigundua Gunner kaishiwa πŸ˜‚
 
You wish!

Umegundua nini? Huwa naondoka nikiamua, you real can’t tell me shit nikafanya especially nikugundua Gunner kaishiwa πŸ˜‚
Nakwambia je umeyakanyaga leo,

Let that goddamn ego die mwanike

Unatakiwa usikilize pale dume linapo unguruma
 
Unaniogopesha
 
Mtenda mabaya ndie anaefaaa kuogopa
Hujui TU mwanaume anaweza ku cheat sio sababu hampendi mkewe ila ni sababu za uanaume ( ushaona jogoo la kuku linapanda mtetea mmoja pekeake)

Leo asubuh nilikua na hard conservation na wife.. kumbe anachukua simu zangu anasoma meseji zanguu nazo chati then anakua anani zoom TU.

Then ana Anza kunipa maneno mengi mengi mara mchepuko wako ivii mara vilee maneno mengi nikamwambia na Huwa na mkataza kushika simu yule ni kipaji Maalum anasoma Kila kitu then ana Anza kuni zoom na maneno mbofu mbofu (acha kufuatilia simu ya MWANAUME)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…