A aduwilly JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 1,191 Reaction score 320 May 3, 2013 #1 Ukimuona mtu anacheka ujue ana bandama linalofanya kazi vizuri otherwise hawezi kucheka. Kama wewe unabandama zima na hucheki jua una jambo limekutinga na sivinginevyo. Kuonesha umekamilika hebu kenua basi japo kidogo
Ukimuona mtu anacheka ujue ana bandama linalofanya kazi vizuri otherwise hawezi kucheka. Kama wewe unabandama zima na hucheki jua una jambo limekutinga na sivinginevyo. Kuonesha umekamilika hebu kenua basi japo kidogo