Kutokana na majina ndiyo nimenunua system zinatofautiana na vyuo vingine vya nje havitaki drop out kwahiyo ni kheri wakusupport uwndeleeSasa Mkuu let us be fair. Kweli unaweza kuuliza kitu kwa watu wanaoshare experience ya Vyuo Vyetu wakati huyo unayemuulizia Yupo Mauritius????
Sisi tunatoa experience ya Vyuo vyetu, kumbe anayehitaji kueleweshwa yupo Nje Duu kweli JF ya siku hzi imepoteza U Great Thinker.. Duuu
sina uhakika na Hilo mkuuUnaweza kuomba upya kwenye icho chuo.
sina uhakika na Hilo mkuu
Aje tulime huku kuna mbunga nzuri sana.
Yes dingiAhahah PLAN B au sio
Amedisco kwa sababu zipi?Kijana wa shost wangu amedisco mwaka wa pili hana credits za kuendelea mwaka wa tatu anaweza kurudia mwaka wa pili?
mkuu kwa chuo kimoja ama viwiliAmedisco kwa sababu zipi?
1.below GPA
2.Incomplete
3.Absentism
4.cheating
5.fail to clear supplementary
Naweza kumpa msaada wa mawazo jinsi kutengua hiyo disco endapo nitachujua chanzo cha kudisco kwake.
Mana mimi katika kusoma kwangu nilidisco mara mbili na nikatengua disco zote kwa kuappeal.mara nyingi heads of department hawako makini.
Kimojamkuu kwa chuo kimoja ama viwili
Below GPAAmedisco kwa sababu zipi?