DISCO maana yake umejitoa mwenyewe regardless ulikuwa na 5.0 GPA lastlyMwaka wa kwanza alifaulu vizuri sana ndiyo anataka kuomba kurudia kwa credits za mwaka wa kwanza
atafute plan B tuKwahiyo inabidi studies nyumbani?
As Usual.... Kijana wa Shost wangu...... Duuuu Samahani Kama nitakukwaza Umewahi Kufika Chuoni.. Katika Darasa leunu kuna mtu ambaye ameshawahi Kukumbwa na hili suala. Je Alikuwa analitatuwaje.. Naamini wewe ni Matured na naamini Pia elimu yako ni ya level ya Chuo. Vitu vingine tunaweza kuvipambanua kupitiaKijana wa shost wangu amedisco mwaka wa pili hana credits za kuendelea mwaka wa tatu anaweza kurudia mwaka wa pili?
Tujadili mada mkuuAs Usual.... Kijana wa Shost wangu...... Duuuu Samahani Kama nitakukwaza Umewahi Kufika Chuoni.. Katika Darasa leunu kuna mtu ambaye ameshawahi Kukumbwa na hili suala. Je Alikuwa analitatuwaje.. Naamini wewe ni Matured na naamini Pia elimu yako ni ya level ya Chuo. Vitu vingine tunaweza kuvipambanua kupitia
Mtu aki Disco Course husika haruhusiwi Kurudia Mwaka Course hiyo hiyo bali anaweza kudahiliwa Upya Chuo Kingine kwa Course Tofauti.Tujadili mada mkuu
Asante mkuu wamempa option ya kurudi in two years kuanza mwaka aliofeliMtu aki Disco Course husika haruhusiwi Kurudia Mwaka Course hiyo hiyo bali anaweza kudahiliwa Upya Chuo Kingine kwa Course Tofauti.
Labda kama imeshabadirishwa ila Huo ndiyo Ufahamu wangu
hakuna kitu kama Hicho huo Ufaulu wake wa Mwaka wa Kwanza una walakini ... Mtu Kama kweli Ulifanya Vizuri First Year Lazima umantain Consistency ukizingatia ni masomo yale yale ambayo yanabadirika kitopic tu.Mwaka wa kwanza alifaulu vizuri sana ndiyo anataka kuomba kurudia kwa credits za mwaka wa kwanza
Ninadhani potion ya kurudia ipo lakini atapiteza scholarship kwa mwaka anaorudia
Yes kwa Course hiyo hoyo unaruhusiwa kurudia baada ya kutokuwepo kwenye udahili wa Chuo hicho Miaka Miwili Mbele. i.e ulidisco 2014 unaruhuswaaa kudahiliwa 2016. Sasa wengi huwa inawashinda wanachofanya wanabadilisha Chuo na kuanza Upya.Asante mkuu wamempa option ya kurudi in two years kuanza mwaka aliofeli