Kama uliolewa na hukuwa bikra usiwe na wivu

We ulieandika hii hujielewi Ni kwel Ni vema mwanamke awe bikra alijitoa mwenyewe wewe ndo ulitakiwa usiwe bikra uwe unafikir kabla hujaandika
izo bikra za kujitoa mbona mnaziongelea sana, mnashindwa kuwa wawazi, kuwa kuna watu waliwatoa!
 
Ukitaka malaika tengeneza mbingu kwanza. Hujawahi kumfunua mwanamke kudai bikra ni halali yako ila kama sivyo acha ujinga na unafiki.
 
Ukitaka malaika tengeneza mbingu kwanza. Hujawahi kumfunua mwanamke kudai bikra ni halali yako ila kama sivyo acha ujinga na unafiki.
sizungunzii, kufunua au kufunika, hizo bikra mlizipeleka wapi? na huko ziliko kwenda ni mahala sahihi?
 
Upuuzi tu!! Mbona kuna wanaooa mabikra na bado wanatangatanga kutafuta wanawake nje!? To hell with bikra... Kama ananipende hataangaika nje. Wanaume wanataka kujustify infidelity lakini haiwezekani. Mpaka umeamua kumuoa wakati unajua si bikra basi own your shit and stop complaining. Kama the bikra thing inakusumbua then subiri umpate huyo bikra. Kama wewe ni kitombi ni kitombi tu, ata ukioa malaika bado utatafuta kasoro.
sawa lakini hauta pata upendo 100% kama mwenye bikra! na hiyo ni kwawanaume wote, hata mpenzi wako au mume wako, lazima atakuja kufikiria swala hili na usipo kuwa makini, atatoka nje, manake ni shit, ulishindwaje kujitunza ukiwa nyumbani kwa baba yako na mama yako, hukuwasikiliza hao, uje umsikilize mume!
 
Kama ndoa ingekua ni kuangalia bikra bas wadada wengi wasingeolewa, kijana kwenye ndoa hatuangalii bikra hapo kuna mengi kwenye ndoa zaid ya hicho ukifikiriacho
 
sawa lakini hauta pata upendo 100% kama mwenye bikra! na hiyo ni kwawanaume wote, hata mpenzi wako au mume wako, lazima atakuja kufikiria swala hili na usipo kuwa makini, atatoka nje, manake ni shit, ulishindwaje kujitunza ukiwa nyumbani kwa baba yako na mama yako, hukuwasikiliza hao, uje umsikilize mume!
Kwa stories na experience za walioko kwenye ndoa hili ata halinishangazi!!! Mwanaume ata ufanyeje, kama sio mwaminifu ni sio mwaminifu tu.
 
Kama ndoa ingekua ni kuangalia bikra bas wadada wengi wasingeolewa, kijana kwenye ndoa hatuangalii bikra hapo kuna mengi kwenye ndoa zaid ya hicho ukifikiriacho
Mwache amuoe huyo bikra wake!! Anadhani ndoa ni ubikra tu!!!
 
naona kabisa unaweza ukanipiga ngumi kupitia JF, maana, siku imechafuka kweli, hampendagi ukweli eti?
Mi ngumi wala siwezi kukupiga!!! Nakwambia tu ukweli. Unaongea kama we mtakatifu.! Huwezi kusema mwenzako mwizi akati na wewe uko kundi lile lile... Ni unafki
 
Hakuna kitu kibaya kama anayejiita mwanaume kushindwa kuandika vizuri utafikiri mtoto wa chekechea.
Anyway hao wanawake wanajitoa hizo bikra? Wewe mtoa mada ulioa ukiwa hujafanya mapenzi hata mara moja? Mbona unabebesha mzigo mwanamke tuuu?
Ndoa ni zaidi ya bikra kijana.
Umenena vizuri mkuu.Ndoa ni taasisi sio ngono tu.
 
Sidhani kama wanaume tunaoa bikira.Ndoa nijambo jingine kabisa na kujamiiana ni kitu kingine kabisa.Ngoja nikuulize swali dogo ulitafakari.Kwa mfano Mwanaume anabalee akiwa na umri wa miaka 13 na mwanamke anavunja ungo akiwa na miaka 10 na sheria yakuoana inasema ili ufunge ndoa inatakiwa uwe na zaidi ya miaka 18.Swali.Je unadhani kwanini umri wa mtu kufunga ndoa ni tofauti na umri wa mtu kubalee na kuvunja ungo?
 
Kwa stories na experience za walioko kwenye ndoa hili ata halinishangazi!!! Mwanaume ata ufanyeje, kama sio mwaminifu ni sio mwaminifu tu. Aliesema mimi ndo ntampenda asilimia 100 nani?
Na wanawake wengine wanaolewa na bikra kwa sabau tu ya huu upuuzi mnaoufikiria wanaume na baada ya ndoa ndo wanaanza kuchepuka. Hii ishu ya ubikra and so on imepitwa na wakati, na mwanamke kubaki bikra abaki kwa maamuzi yake mwenyewe na sio kuogopa mwanaume kucheat!!!
Kuna wanaooa machangudoa tena wanawaokota hukohuko viwanjani kwao na wanawapenda saana tu.
Kuogopa mwanamke kutokua mwaminifu ni woga tu na kutojiamini na wala usitafute sababu.
povu limekutoka ebu toa mfano
 
Unawezaje kusema hupendi? Ulitaka ajitoe na mti au baisikeli au kitu Chenye ncha Kali??? Ukikutana na mwanamke wa aina hiyo kama umempenda utamuacha?? ama kweli JF is the home of great thinkers [HASHTAG]#LordHaveMercy[/HASHTAG]
Kwanza siku hizi hata hakuna, sifikirii hata kukutana nayo, sina hilo wazo kabisa my sister, na kwanini nifikirie bikira? Kwani bikira kitu gani bwana. Nachojali ni upendo wa dhati tu.
 
Back
Top Bottom