Kama ulinunua nyumba ya serikali kwa bei ya corolla nakushauri iuze mapema, Magufuli atazirudisha

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,878
6,294
habari wadau..

kwa uzalendo wa huyu baba najua hizi nyumba zitarudi serikalini zote au watapewa nhc..

kipindi kile aliuza tu sababu mabosi wake walimfosi auze ila anajua haikuwa sahihi...

sasa ndugu uliyenunua nyumba za serikali iwe nhc au za TPA, au za TRL au za shirika lolote la uma nakushauri uiuze haraka sana au mwenyewe irudishe serikalini kama ngeleja vile...

miaka 10 ya magufuli hizi nyumba zitarudi kuwa mali ya serikali iwe kwa amani au kwa ubabe hawezi ziacha mali za serikali zinufaishe wachache...

na wale waliojiuzia migodi nao wajiandae kurudisha mapemaaaaa
 
abbedc5cb7e555c24dbc5f57adf5205e.jpg

Swissme
 
Hana uadilifu huo..

Nyumba ambazo aligawa hadi kwa mahawara halafu aje aZitwae tena..!!?? Hilo halipo.

Shida moja ya mleta uzi na baadhi ya watanzania wanafikiri jamaa ni muadilifu kweli-kweli kumbe ni tofauti kabisa..

Uadilifu wake ni wa mashaka sana na ndio maana mambo mengi especially yale yanayo involve funds kubwa anayafanya yeye mwenyewe kinyemela.

Mfano tazama alivyoingilia kwenye manunuzi kwenye hizi ndege na usiri uliopo..!!

Nani anajua kama kuna commission yoyote imetolewa?? Na kwa biashara kubwa namna hii vitu kama commission ni obvious.

Nani anaeweza kumuuliza kuhusu uwazi wa manunuzi ya namna hii??

Hana chembe ya uadilifu huyu.

Tanzanians u have to wake up and open your eyes.
 
habari wadau..

kwa uzalendo wa huyu baba najua hizi nyumba zitarudi serikalini zote au watapewa nhc..

kipindi kile aliuza tu sababu mabosi wake walimfosi auze ila anajua haikuwa sahihi...

sasa ndugu uliyenunua nyumba za serikali iwe nhc au za TPA, au za TRL au za shirika lolote la uma nakushauri uiuze haraka sana au mwenyewe irudishe serikalini kama ngeleja vile...

miaka 10 ya magufuli hizi nyumba zitarudi kuwa mali ya serikali iwe kwa amani au kwa ubabe hawezi ziacha mali za serikali zinufaishe wachache...

na wale waliojiuzia migodi nao wajiandae kurudisha mapemaaaaa
Ehh akiyanani watu mna mahaba niue !!. Mzalendo ananunua pia kivuko kibovu !!
Mzalendo anawapa ndugu zake hizo nyumba !!
Nyerere na uzalendo wake hakushiriki dhambi ya kugawa raslimali za taifa na kushiriki kuvuruga katiba ya wananchi ati tu kukifurahisha chama chake?!

Cairo's
 
habari wadau..

kwa uzalendo wa huyu baba najua hizi nyumba zitarudi serikalini zote au watapewa nhc..

kipindi kile aliuza tu sababu mabosi wake walimfosi auze ila anajua haikuwa sahihi...

sasa ndugu uliyenunua nyumba za serikali iwe nhc au za TPA, au za TRL au za shirika lolote la uma nakushauri uiuze haraka sana au mwenyewe irudishe serikalini kama ngeleja vile...

miaka 10 ya magufuli hizi nyumba zitarudi kuwa mali ya serikali iwe kwa amani au kwa ubabe hawezi ziacha mali za serikali zinufaishe wachache...

na wale waliojiuzia migodi nao wajiandae kurudisha mapemaaaaa

Akizirudisha bitafute nikupe offer ya Kiti moto ya kuchoma na beer barudi
 
mleta mada unataka kufukua makaburi!!!au hujui kuwa na yeye alijitwalia baadhi ya nyumba tajwa?
 
habari wadau..

kwa uzalendo wa huyu baba najua hizi nyumba zitarudi serikalini zote au watapewa nhc..

kipindi kile aliuza tu sababu mabosi wake walimfosi auze ila anajua haikuwa sahihi...

sasa ndugu uliyenunua nyumba za serikali iwe nhc au za TPA, au za TRL au za shirika lolote la uma nakushauri uiuze haraka sana au mwenyewe irudishe serikalini kama ngeleja vile...

miaka 10 ya magufuli hizi nyumba zitarudi kuwa mali ya serikali iwe kwa amani au kwa ubabe hawezi ziacha mali za serikali zinufaishe wachache...

na wale waliojiuzia migodi nao wajiandae kurudisha mapemaaaaa
Thubutu yake!! Kwani ufisadi aliacha lini?!
 
Natoka Morogoro nahamia Kibiti kwa hiari yangu na nikifika nagombea uenyekiti wa Ccm.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe ukisikia hataki kufukua makaburi unawaza nini, hili ndio kaburi kuu asee jomba. Kuna hili na lile kaburi lililogeuka kifaru cha jeshi.
 
Back
Top Bottom