Kama ulimsikikiloza Pasacall Mayalla utajua ukweli wa siasa na ukweli wa I'd fake za hapa JF !

Sales man

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
571
Reaction score
843
Watanzania ni watu wajinga Sana Ila pia ni wanafiki sana .

Pascall Mayalla aliwahi kuzungumzia hii issue kwa urefu kuwa .

Watakusifu unapoikosoa Serikali Ila ukikamatwa hawana habari na wewe.

Ndo hawa hawa vilaza wamejazana humu na I'd fake wakitukana matusi na kumbeza Pascall Mayalla , nakusahau mwenzao akizingua anakamatwa kwakuwa anatumia majina yake halisi.
 
Katika watu ninaowadharau, kuwachukia na kutamani nikikutana nao niwatemee mate kabisa ni watu wa aina yako na huyo shujaa wako.
You're worse than shit.
Hakuna lolote mnalo liamini wala kulisimamia. Kazi yenu kubwa ni kugeuka guka tu kama bendera inayoburuzwa na upepo.

Sasa niambie, watu kama nyinyi nayo faida gani zaidi ya hao mnaojifanya kuwananga!
 
Watanzania ni watu wajinga Sana Ila pia ni wanafiki sana .

Pascall Mayalla aliwahi kuzungumzia hii issue kwa urefu kuwa .

Watakusifu unapoikosoa Serikali Ila ukikamatwa hawana habari na wewe.

Ndo hawa hawa vilaza wamejazana humu na I'd fake wakitukana matusi na kumbeza Pascall Mayalla , nakusahau mwenzao akizingua anakamatwa kwakuwa anatumia majina yake halisi.
Umekuja na mada zako za kipumbavu watu wamekupa za uso unatafuta sympathy kutoka kwa verified members wewe mbona umeogopa ku verify id yako? Eti Watanzania ni watu wajinga sana nenda kwenu Burundu basi tuondolee dharau zako za kishamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom