Kama ulimkuta sio bikra wivu wa nini?

Kama ulimkuta sio bikra wivu wa nini?

Tunajisahaulisha na kujifariji tu, your past defines/determines the future. Hukumkuta sealead, she had mega relationships in the past, yet you are looking for loyalty...sidhani!!!

Haijalishi . na kutokutwa bikra sio sababu eti ya kutokuwa na wivu.. Yes hakuwa bikra but uaminifu muhimu rafiki .......


Cc Smart911[/USER
 
Tofautisha m2 ukisema umetembea nao b4.. Kabla hujaolewa, Bond ya mke na mume ni tofauti na ile ya regular couples... So kama mume ana haki ya kuona wivu.... Na kuskia uchungu pale anapokuta text za ajabu kwenye sim ya mkewe... Haijalishi ni wanaume wangapi alitembea nao kabla hajaingia kwenye ndoa hio...
 
Mboga moja inachosha hata hamu ya kula inaisha me na wife wangu wote tunachepuka ila heshima ya ndoa bado ipo
 
mie nadhani swala la alikuwa na wangapi kabla yako halina umuhimu sana bali je kwa mahusiano ya sasa mlokuwa pamoja upo mwenyew au kuna wenzio?? Km wapo hapo kosa
 
Isijali mahondaw wangu... hata hivyo niliwasema... naona wametulia...

Thanks for that sweetheart. Smart911 you know Vyenye naishi nawewe ukikiacha kitateseka sana ki mahondaw chako tihtih [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] .. eti kaone kwanza [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji182]

Nakupenda mimiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom