Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
[emoji23] [emoji23] umenifueahisha kweliWawili we ndio watatu...hivyo tu mkuu
[emoji23] [emoji23] umenifueahisha kweliWawili we ndio watatu...hivyo tu mkuu
Wewe huwa unataja wangapNani alikuambia kuwa wanawake tunasemaga idadi kubwa hivyo ya maX.... nanukuu "eti nimetembea na wanaume sio chini ya kumi"...[emoji1] [emoji1] [emoji1] hatusemagi hvyo mkuu
[emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]Poleni sana...
Tatizo siyo alichofanya wakati hayupo na wewe...
Tatizo ni nini anachofanya wakati yupo na wewe...
Cc: mahondaw
Poleni sana...

HahahahaWewe wapili tokea nianze kufanya matusi.......kumbe kuna njemba kama 10 zimeshapita
Huyo na yule mwenzie asiyetaka kuoa ni Watoto wa shangazi kwa mjomba... Wana ajenda Ya siri.Mkuu umeongea maneno makubwa. mwenyezi mungu akubaliki.
We utakua wapili
Tunajisahaulisha na kujifariji tu, your past defines/determines the future. Hukumkuta sealead, she had mega relationships in the past, yet you are looking for loyalty...sidhani!!!Poleni sana...
Tatizo siyo alichofanya wakati hayupo na wewe...
Tatizo ni nini anachofanya wakati yupo na wewe...
Cc: mahondaw
Habari za asubuhiKuwa na wanaume wengi huko nyuma sio tiketi ya kucheat waziwazi hadi mme ajue, mheshimu hata kama unacheat