Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,843
Sio poa aiseehatari sana
Sio poa aiseehatari sana
Sisi masikini tuna maneno ya kufarijiana sana.
Tutafuteni pesa kadri tuwezavyo, tukifika miaka 60 tusikae vijiweni, huo ndiyo umri muafaka wa kutumia ulichozalisha ujanani kwako, vacations kama zote, ni kula flights to tena VIP class, off to Ibiza. Dubai
What do you mean?Unatazama sinema gani?
Mzee kikwete kastafu ,ulishawahi kukaa nae msikitini kupiga story ?
Tafuta pesa kijana ,hata ukiziieka Kuna kijiwe cha wazee wenye pesa na wasio na pesa ..


kiko wapi??sio kwamba huwezi ila hutaki tena.
Mkuu hii post yako nai screen shot niishi nayo. Unayoyasema yananigusa hadi rohoni ndani kabisa. Hakika no kweliPesa haina furaha ukiitumia kwenye starehe.
Ukitaka uione furaha ya fedha , wasiedie wengine.
Hapo uta-enjoy ujana wako na uzee( furaha ya moyoni , na sio ya usoni).
MUNGU hukupa ela nyingi , si kwa sababu ni zako binafsi , ila wewe unatumika kama njia tu.
IKUMBUKWE: Hakuna aliyefilisika kwa sababu ya kusaidia
Na huamini kila mtu mwenye hela nidhambininauhakika uyu jamaa ni muislam mfuata dini kindakindaki.
most of these people uwa wnaahisi umasikini ni kama tiketi ya kukupeleka mbinguni