Kama ulikuwa hujui

Hii sio avatar ya kawaida View attachment 387160..! Usije ukadhani mbona avatar moja wanatumia watu wengi?
Ukiona hivyo jua mtu yuko lockup tayari
Mchezo rais, unafungua new account..!

Watakuja kustuka wamebaki na mtu mmoja ila ana account million 5.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mchezo rais, unafungua new account..!

Watakuja kustuka wamebaki na mtu mmoja ila ana account million 5.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaah avatar inatisha kwani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] full burudani moderator akitaka tu kukupiga ban akiangalia tu avatar anabadili mawazo hata kama alikuwa kakasirika anaishia kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…