jinsi unavyoendelea kumjibu ndio hasira zinapanda zaidi aisee. kwenye jukwaa la siasa kule ban nje njeni kweli yani mpaka hasira zinakuwaka ila naonaga ukiendelea kumjibu ni kujiongezea hasira.
wanabidi walifanyie kazi team ya jf kulitatua hilo swala.
hujachokozwa na mimi ?Siwezi ingia hata unichokoze vipi.
kwahiyo kaka mshana mfano ukipigwa ban hiyo avatar yako wanaitoa wanaweka yao kwa muda huo?Ukishaona tu mtu hana mwelekeo mzuri kwenye mjadala unamfungia vioo haraka sana na kumpuuza kabisa...ni njia ngumu lakini very productive
hahahaha sababu uliomba mwenyewe. duuuh huyo mod alijisikia tu.[emoji3] ila kuna siku niliweka post chitchat yenye heading 'sijui nitapigwa ban' aisee kuja kushangaa niko kifungoni na sababu waliyotoa eti niliomba mwenyewe....hii ban ilinipa hasira sana
basi walizingua. ngoja nijaribu na mimi kama nitapigwa banTena nilipostia chitchat
Usinichokoze bwana.....[emoji2] [emoji2]hujachokozwa na mimi ?
Kaka mshana hapo vipi?Yeah ndio new model ya ban
Imani yangu ni kwamba hakuna watukufu jf...sina uhakika...mkuu ban unakaa kwa muda gan?Ban model mpya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuu[emoji3] ila kuna siku niliweka post chitchat yenye heading 'sijui nitapigwa ban' aisee kuja kushangaa niko kifungoni na sababu waliyotoa eti niliomba mwenyewe....hii ban ilinipa hasira sana
Life ban??? duh! mf. wa makosa ya yrs/life ban ni ya namna gani?Zinatofautiana kuna za masaa siku wiki mwezi mwaka na life ban
Inabidi @Modorate watu tunuku sisi ambao tumekua watiifu wa kufuata sheria za jf pasipo kupata bun, ilhali tukiwa wachangiaji 24/7Ila tangia nianze jf miaka 5 sasa sijawahi kuwa lockup.
Shukrani kwa kunijuza kila kitu ni majaribio...ndio njia rahisi ya kujifunza.Mmmh ukisoma sheria zao unaweza jua