sana......uwa najiuliza nisipomjibu kwani nitapungukiwa na nini........basi naishiaga hapo tu.....atakayetaka kuongea aongee yawe ya kweli ya uongo simjibu kitu........kwanza unaepusha mengi sana.
naona emoji hahahaha
kabisa huna haja ya kumjibu vibaya.....unajifanya mjinga ila kwa manufaa yako zaidi.Ukishaona tu mtu hana mwelekeo mzuri kwenye mjadala unamfungia vioo haraka sana na kumpuuza kabisa...ni njia ngumu lakini very productive
Siwezi ingia hata unichokoze vipi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
ila mda mwingine kuna watu wanakera sana aisee. unaweza kukaa kimya ila bado atakutafuta ili mradi tu.sana......uwa najiuliza nisipomjibu kwani nitapungukiwa na nini........basi naishiaga hapo tu.....atakayetaka kuongea aongee yawe ya kweli ya uongo simjibu kitu........
emoji somo limeeleweka ingawa muda mwingine jf app inasumbua.
labda yawezekana.......Bado hujachokozwa wewe....!!!
labda yawezekana.......
ni kweli yani mpaka hasira zinakuwaka ila naonaga ukiendelea kumjibu ni kujiongezea hasira.ila mda mwingine kuna watu wanakera sana aisee. unaweza kukaa kimya ila bado atakutafuta ili mradi tu.
kweli limeeleweka vyema. JF app inasumbua sana sijui nini tatizo. hapa natumia opera mini kuingia JF.
aya nitazidisha maombi......Na omba Mungu usichokozwe.....
na siku nikichokozwa basi hekima initawale.......Na omba Mungu usichokozwe.....
aya nitazidisha maombi......
[emoji3] ila kuna siku niliweka post chitchat yenye heading 'sijui nitapigwa ban' aisee kuja kushangaa niko kifungoni na sababu waliyotoa eti niliomba mwenyewe....hii ban ilinipa hasira sanaila kweli kwenye siasa kule kunusurika ni bahati......kuna watu wanatia hasira kule.