Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,631
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye Basi hajalizoea.
4. Mwenyekiti Msolla na Makamu wake Mwakalebela wanapishana na hawapatani kama Israel na Palestine.
5. Mshambuliaji David Molinga ni zaidi ya Kocha Msaidizi wa Yanga SC Charles Boniface Mkwasa.
6. Mhamasishaji Nugaz na Msemaji Bumbuli sasa si tu kuwa wana Bifu bali wameanza hata Kuhujumiana na Kusalitiana Kiutendaji.
7. Ndani ya Wachezaji wa Yanga SC tayari kuna Mpasuko mkubwa kwani kuna ambao Wanatengwa na Wanaonyenyekewa.
Upuuzi huu Kamwe hutokaa kuja ama Kuukuta au Kuusikia abadan kwa Timu iliyobarikiwa sana / mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.