Mjomba kazola
Member
- Mar 25, 2017
- 33
- 14
Get to know
Kumbe wahenga ndo hawa,,,wanahuzunishaGet to know
View attachment 509351
Tena maono yao yatabaki milele...na hekima zao piaKumbe wahenga ndo hawa,,,wanahuzunisha
Tusubiri tuone labda watazaliwa wahenga wengineTena maono yao yatabaki milele...na hekima zao pia
Alafu eti wakatuletea msemo wao eti mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzioKumbe ndo hawa wahenga wanaotuambia
"Mvumilivu hula mbivu" halafu wanakuja kutuambia eti "ngoja ngoja huumiza matumbo"
"Haraka haraka haina baraka" vs "chelewa chelewa utamkuta mwana si wako".....khaa!!
Ndy hao..waliotwambiya hayo yote...ila walitaka tutumie akili zetu vzr ndy maana wakaweka MISEMO na OPPOSITE yake...Kumbe ndo hawa wahenga wanaotuambia
"Mvumilivu hula mbivu" halafu wanakuja kutuambia eti "ngoja ngoja huumiza matumbo"
"Haraka haraka haina baraka" vs "chelewa chelewa utamkuta mwana si wako".....khaa!!
Aisee! Nani aliwakusanya na akawapiga picha kwa wakati huo?Get to know
View attachment 509351
Hahaaa ila hapo kidogo wamepatia.Alafu eti wakatuletea msemo wao eti mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio