Kama ujumbe unavyosema

Kama ujumbe unavyosema

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
1448394068491.jpg
 
Sasa huyu chadogi ni me au ke?

Eeeh! Hapa utata mkubwa tu. Lakini nafikiri huyu ni ME.

Hiyo car-wash huko juu nafikiri me au ke anaweza kuvaa. Lakini hiyo putaa (jeans) hapo chini kama angekuwa ke ingekuwa fupi sana. Mselembwete huo ni wa me tu.

Kwa vyovyote vile, sio kufua tu vizuri bali, TUMBA lolote "jipya" lazima lichemshwe kwanza.

Habari za siku mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Kifyatu furaha yangu kukuona tena jukwaani ulipotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa! Umenistua na kunichekesha. Kumbe baadhi ya nguo za mitumba tunazozipokea huku afrika hazikuwa zikivaliwa na binadamu huko ulaya/ marekani/asia!!!!!!!!

Ndo maana magonjwa ya ajabu yanazuka afrika/tanzania.
 
Back
Top Bottom