kama tumefikia hapa! ccm kwishnei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama tumefikia hapa! ccm kwishnei

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mimtamu, Sep 5, 2012.

 1. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nipo na dada yangu hapa, ametoka kujifungua mtoto wa kiume tofati na matarajio yake. Sasa machungu yake amejikuta akisema "hii serikali ya ccm hovyo kweli yaani sijapata wa kike halafu mawazili wapo wapo tu"

  Dah.. hii yote ccm ndio maana..
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mhhhh! Kama siyo Malima kampa kitu inauma basi atakuwa Simbachawene!
   
 3. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ingukuwa siyo ccm usingeongea hivi. ccm imeambukiza wengi ukilaza
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  sasa si kaambukizwa mimba ya kiume mwenzio kaanza kulaumu?
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du kweli wamewachoka
   
 6. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  atakua na undugu na mwigulu nchemba
   
Loading...