Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,494
Hivi mnashindwaje kutofautisha mambo wazi kama haya. Waingereza waliamua kuondoka wenyewe baada ya mazungumzo ya amani na Hayati Nyerere, mtu mwenye akili aliyejua anachokifanya.
Huwezi kulinganisha na sasa hivi ambapo nchi inatumia mfumo wa democracy kujiendesha na hao wa kuondolewa hapa ni kwao. Come on, guys!
I hope it's a rhetorical statement.
Huwezi kulinganisha na sasa hivi ambapo nchi inatumia mfumo wa democracy kujiendesha na hao wa kuondolewa hapa ni kwao. Come on, guys!
I hope it's a rhetorical statement.