F100 Maziwa Mazito
JF-Expert Member
- Jul 31, 2020
- 209
- 374
Kama Tsh 300 billions zikitolewa na serikali kwa wananchi kwaajili ya kupunguzia watu ukali wa maisha, kuziba pengo la ajira angalau kwa uchache, kuhamasisha biashara pamoja na kuchochea uchumi, serikali itapunguza majuto na nchi itapoteza lawama kwa watu wake.
Sijui risks za hili jambo, sina mifano ya serikali za Africa ambazo zimewahi fanya hili jambo, ila kuna serikali za watu weupe zimewahi fanya hili jambo, hakika linaonekana kuwa jambo jema, why Serikali zetu zinakwepa hili jambo?
Kwasababu tatizo la ajira halikwepeki, umaskini bado upo, sababu zipo nyingi za kufanya hiki kitu, but kwanini serikali hailioni hili? Mtu anaweza fanya biashara akiwa nje ya mipaka yake ili amudu maisha yake. Nchi ndogo za waarabu zinafanya hili kila baada ya muda fulani, kwann Tanzania hatulioni hili, mama samia, Angalia hili jambo kwasababu hutoweza kuajiri watu wote wasio na ajira.
Tutenge makundi makundi ili tupate sifa za watu watakao pata hiyo ruzuku, tupewe masharti kidogo tu, nawambieni uzalendo wa nchi yetu utaongezeka sana, hutaona mtu anaibwatukia nchi yetu hovyo wala kuisemea mabaya. Nakutakia utekelezaji mwema mama.