Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Na bado shigongo anaidai serikali ya ccm
Ripoti ya Profit and Loss inayoishia September mwaka huu, inaonyesha kuwa mapato ya TBL yameshuka.
Moderators msihamishe uzi huu:
My take:
Hii ni indicator iliyodhahiri kuwa mtaani hali ni mbaya.
Lakini ifahamike kuwa TBL ni mlipa kodi mkubwa, sasa kama hali yao nao inasuasua je hali ya kiuchumi nchini kwa ujumla ikoje?
Ni muda muafaka sasa serikali kuchukua hatua madhubuti kustabilize uchumi, la sivyo tutakwenda kwenye recession.
Hahahaha ulijuaje hahahaha....Jana tu tulifanya hvyo bia moja moja.....n'a nyagiUkienda bar kila mtu ni mwendo kula bapa.
hahahahaaa,unaweza ukazama halafu mkakutana huko,naona wa arusha wanaotIngekuwa tunaruhusiwa kufa halafu tunafufuka, ningezama zangu ahera nikageuka 2026
unachochea konyagi nyumbani,halafu unasafisha koo kwenye baa na zile bia za buku jero,moja tu,maana ukinywa nyingi utaipa faida serikali,hakika wanywaji wanaweza angusha nchi,kama tu wakiamuaHahahaha ulijuaje hahahaha....Jana tu tulifanya hvyo bia moja moja.....n'a nyagi
OVA
Unywaji wa pombe umepungua...saa kumi mpk saa tano kamili usiku....Bado Wenye bar hawajawalipa mshahhara wafanyakaziunachochea konyagi nyumbani,halafu unasafisha koo kwenye baa na zile bia za buku jero,moja tu,maana ukinywa nyingi utaipa faida serikali,hakika wanywaji wanaweza angusha nchi,kama tu wakiamua
hahahahaaaa....bapa kwa kwenda mbele,mzuka wa bapa na waini au john walker mlemle tu,wote tunayumbaSiku hzi tunakunywa Jibapa. Tukiwa watano tunachanga elfu 2 kila mtu tunavuta jibapa.
Njia mpya ya kubana matumizi.
Hahahaha kweli aiseSiku hzi tunakunywa Jibapa. Tukiwa watano tunachanga elfu 2 kila mtu tunavuta jibapa.
Njia mpya ya kubana matumizi.
wauza supu za asubuhi kwenye baa ni kilioUnywaji wa pombe umepungua...saa kumi mpk saa tano kamili usiku....Bado Wenye bar hawajawalipa mshahhara wafanyakazi
OVA