Kama taifa tunaweza kufungua Account maalum

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
710
Reaction score
1,365
Siku za nyuma niliwai kupata wasaa wa kutafakari hili swala la kuwa na account maalumu kuhusu ujenzi wa nchi.

Kwamba kila Mtanzania awe anachangia kuanzia elfu moja na kuendelea kwa jinsi anavyojiskia.

Naamini kupitia hivi kwa mwaka tutakuwa tunaingiza mabilioni ya pesa na zote zitakuwa zinaingia kwenye miradi mikubwa ya kitaifa.

China, Marekani, Ulaya na kwingineko walipiga hatua kwenye medani za kiuchumi kwa kufanya maamuzi magumu kama Taifa.

Tuachane na dhana za misaada kila uchao ambazo nyingi zimekuwa na masharti magumu na masimango yasiyoisha.

Mzee Mkapa aliweza hili kwenye barabara za ndani kupitia Road Fund.

Ni rai yangu kwa Mh. Rais Magufuli atalifanyia kazi hili suala kwamba ifunguliwe account maalumu ya kitaifa ili Watanzania tuweze kuchangia na kuona fahari kujenga Taifa kwa pesa zetu wenyewe.

Alex Fredrick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchanga si tatizo tatizo ni kutokushirikishwa kwenye maamuzi jinsi utumiaji wa hio michango,
Kama tu matumizi ya kodi zetu atushirikishwi ni kikundi cha wachache ndio uamua kodi zetu watumiaje, wanaangalia vipaumbele vyao tu viwapavyo sifa na sio vyetu thus hatuendelei.
 
Nichange halafu naona mavitu yanavyodondoka chato!!Hell no,bado pia hatujasahau pesa tulizochanga kwa ajili ya wahanga wa tetemeko kagera,mwisho wa siku zikapigwa na serikali na wahanga kuambulia sufuri na maneno ya shombo!

Au tuchange halafu pesa ziende kununua misilaha ya kivita na kuacha mambo muhimu kama bajeti ya mwaka huu ambapo wizara ya mambo ya ndani imepelekewa 228% ya bajeti huku wizara za maji,afya na kilimo zikiwa hoi kwa chini ya 50%!

No way,siwezi changa!
 
Umewaza vizuri sana! Binafsi naunga mkono hoja yako 100% na ikitokea nitakuwa mchangiaji mkubwa.

Miradi kama ya ujenzi wa reli ya sgr na nyerere hydroelectric power inahitaji sana ijengwe kwa mifuko yetu.
 
Laiti kama wananchi tungekuwa tunashirikishwa kwenye upangaji wa maendeleo yetu tungekuwa mbali sana kodi zetu zisingepotea hovyo
 
Naaahidi sito changia hata senti moja... Yani kama mmeweza kukopa taasisi za wafanya kazi hadi wazazi wetu wanakosa viinua mgongo ndo mtaishindwa hyo account?

Watanzania sio wajinga kiasi hicho

Pumbavu bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hajaongezewa mshahara kwa miaka almost mi5 atapata wapi muda wa kufikiria kuchangia hela ya nini sijui.

Je kodi yetu inaenda wapi?

Ukinunua gari tu unapigwa kodi sawa and simtimes inazid bei ya gari lenyewe.
MATAGA msitukasirishe aisee tuacheni tuuguze mbunge wetu
 
"China, Marekani, Ulaya na kwingineko walipiga hatua kwenye medani za kiuchumi"

walifanikiwa kwa sababu walikua na viongoz makini wenye focus, vision na walikua wanajua n wapi wanataka kufika.

waliongozwa na set of rules na sio mtu akiamka tu anafanya maamuzi kutegemeana na mood aloamka nayo.

hv ww hufikirii ile michamgo ilochangwa kwny maafa ya bukoba cha ajabu mtu mmoja akaja kuamua "HZ PESA ZIKAFANYE HIKI" yaan ktu ambacho wachangiaji wala hawakufikiria kama michango yao ingekuwa redirected kwnd huko.

tatzo ni pale mmechanga afu kikundi cha watu wachache ndo wanaamua hii pesa ikafanye nn yaan wao wana vipaumbele vyao tofautiii kabisa na vipaumbele vya wananchi.

Hv hata cku moja ushawahi kujua hv hz kod zetu znatumikaje haswa??? ushawah kushirikishwa utoe mapendekezo ya namna gan kodi itumike kunufaisha umma??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu mkubwa kabisa kwenye chama kaenda kikaoni mzima wa afya kikao kinaisha anapelekwa ICU kalishwa sumu na kikao ni chao tuu,KWELI NA AKILI ZAKO UTACHANGIA MTU WA NAMNA HIYO???
 
Umewaza vizuri sana! Binafsi naunga mkono hoja yako 100% na ikitokea nitakuwa mchangiaji mkubwa.

Miradi kama ya ujenzi wa reli ya sgr na nyerere hydroelectric power inahitaji sana ijengwe kwa mifuko yetu.
hyo miradi ni vipaumbele vya wananchi? yan mtu anawaza n vp atapata ugali wa buku afu umwambie ctory za Sgr??? are u mad?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za nyuma niliwai kupata wasaa wa kutafakari hili swala la kuwa na account maalumu kuhusu ujenzi wa nchi.

Kwamba kila Mtanzania awe anachangia kuanzia elfu moja na kuendelea kwa jinsi anavyojiskia.

Naamini kupitia hivi kwa mwaka tutakuwa tunaingiza mabilioni ya pesa na zote zitakuwa zinaingia kwenye miradi mikubwa ya kitaifa.

China, Marekani, Ulaya na kwingineko walipiga hatua kwenye medani za kiuchumi kwa kufanya maamuzi magumu kama Taifa.

Tuachane na dhana za misaada kila uchao ambazo nyingi zimekuwa na masharti magumu na masimango yasiyoisha.

Mzee Mkapa aliweza hili kwenye barabara za ndani kupitia Road Fund.

Ni rai yangu kwa Mh. Rais Magufuli atalifanyia kazi hili suala kwamba ifunguliwe account maalumu ya kitaifa ili Watanzania tuweze kuchangia na kuona fahari kujenga Taifa kwa pesa zetu wenyewe.

Alex Fredrick

Sent using Jamii Forums mobile app
Lipa kodi yako huu ndio uchangiaji mzuri zaidi wa maendeleo yetu.
 
"China, Marekani, Ulaya na kwingineko walipiga hatua kwenye medani za kiuchumi"

walifanikiwa kwa sababu walikua na viongoz makini wenye focus, vision na walikua wanajua n wapi wanataka kufika.

waliongozwa na set of rules na sio mtu akiamka tu anafanya maamuzi kutegemeana na mood aloamka nayo.

hv ww hufikirii ile michamgo ilochangwa kwny maafa ya bukoba cha ajabu mtu mmoja akaja kuamua "HZ PESA ZIKAFANYE HIKI" yaan ktu ambacho wachangiaji wala hawakufikiria kama michango yao ingekuwa redirected kwnd huko.

tatzo ni pale mmechanga afu kikundi cha watu wachache ndo wanaamua hii pesa ikafanye nn yaan wao wana vipaumbele vyao tofautiii kabisa na vipaumbele vya wananchi.

Hv hata cku moja ushawahi kujua hv hz kod zetu znatumikaje haswa??? ushawah kushirikishwa utoe mapendekezo ya namna gan kodi itumike kunufaisha umma??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kama kuhamia Dodoma sijui kujenga airport ya kimataifa Dodoma kuna nn kule hivi kuna kampuni gani kubwa ya ndege ya kimataifa itue Dodoma au chato iache dar Na Kia kwenye center ya abiria,angalau Mugumu Serengeti tunawezapata flight toka nje direct za watalii wanatua usiku Asubui hadi jion wanazurura mbugani usiku wanarudi kwao wanatuachia madola.Kodi zetu hazitumiki kwenye vipaumbele vya wananchi Bali vya kisiasa
Hakuna mlipa kodi maisha yake yamekwama sababu hakuna Sgr,au Dodoma vipaumbele vya wananchi ni ajira,Kilimo,elimu za ufundi kuondoa njaa kwanza shibe uleta Upendo njaa uleta ubinafsi Na chuki Kwa utawala.
Thus wanafanya kila kitu kulazimisha kupendwa hali wamesahau key ya Upendo (shibe) kwanza.
 
kuna mengne wacha tunyamaze mana hawakawiagi kusema "umetoa maneno ya kichochezi"

Back
Top Bottom