Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?

Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?

Alifanya hivi hivi rais wa korea kusini mwaka jana. Haikukaa wiki jeshi na bunge likamtoa chap chap!
Rais kuidharau katiba tena hadharani dah! Tena ndiyo katiba iliyomsababisha yeye awepo kwenye hivyo nafasi.

bado watu tunalichukulia kama ni jambo la kawaida tu mmmh!
 
Ukiwasikia vijana wanavyokandia unaona kama taifa bado sana
Hiyo ni mbinu kama mbinu zingine , binafsi nawapongeza sana kwa kuact namna hiyo ,wangelikuwa wanamwagika kiboyaboya wengi wao wangeliishia kutekwa ,lakini bora waonyeshe kutokutamanii kujihusisha nayo ili waendelee kujipanga kimyakimya .

Mkuu hii game imekaa vibaya sana kwa Maza na CCM kwa ujumla.
 
Mimi kila nikiwaza hili naishiwa nguvu. Kiukweli naogopa sana maisha baada ya tar 29.
 
Lakini watz tulivyo mqkuma, tunaishia kubweka mitandaoni lakini mitaani tunaweka mikia mkund*ni kama mambwa!!
Wasenge sana sisi
 
Samia ndiye Rais atakayeandika historia ya kuiacha nchi katika hali nzuri sana Kiuchumi.
 
Samia ndiye Rais atakayeandika historia ya kuiacha nchi katika hali nzuri sana Kiuchumi.
Duh! Huyu aliyeturoga kama yupo yafaa tukamuombe tu msamaha yaishe coz dah!

Yaani hadi hapa mkuu inaonyesha bado hujafunguka kichwa kupima madhara ya umwagaji damu, huioni hatima ya Taifa baada ya CCM kufanikiwa kuifunganmidomo ya raia kwa kutumia mitutu ya bunduki .

Huyo anaetajwa kuja kuliacha Taifa kwenye hali nzuri ya kiuchumi sasa 🤣🤣 hadi sasa deni la Taifa linasoma trillion 107 kutoka 52 ndani ya miaka minne .

Hadi sasa anatajwa nakuhusishwa na ufisadi mkubwa mkubwa tena kwa ushahidi wa nyaraka za wazi na kila anaevujisha taarifa husika anahesabika kama adui wa Taifa .

Anyway , twende tu siyo kitambo tutaongea lugha moja .
 
Unakumbuka MKIU?
 
Back
Top Bottom