passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,527
- 12,507
Bado tunaendelea kukumbatia mambo ambayo yalisababisha watu tarehe 29 kuandamana kama ufisadi wa kutisha,uhuni wa kuua na kuteka watu,uchawa,uongozi mbovu,rushwa kila eneo,uchumi mmbovu,dharau za viongozi kwa wananchi.kitu cha uhakika ni kwamba Watanzania wengi sasa hivi wamejawa roho ya kupigania nchi yao hata zaid ya tarehe 29.watanzania wapo kimya lakini wapo tayari kuchukua hatua muda wowote wahuni wakiendeleza mambo yao, silaha haziwezi kuzuia haki.