halafu kuna watu wanalaumu na kukejeli ujio wa Christiniaty tanzagiza kwamba kabla ya Ukristo kuja tulikuwa na dini zetu na maisha bora, sasa mnaona hana anwani tu hatuna, hayo masanduku machache ya posta ni Christians waliyajenga, lkn sehemu kubwa ya watanzagiza hawana anwani, kwa kifupi hawatambuliki na serikali kama raia wengi hawalijui hili, wengi wanaishi kama wanyama tu porini no address, no nothing, i blessed the day Wamishionari walivyotia mguu hapa kwetu, vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi …