Kama huna sanduku tumia bagSalamu, hivi kwenye kuomba kibarua sehemu then wananihitaji Mimi kuwaandikia barua, upande wa sender's address, SLP inakuwaje?
Sanduku la posta unalijua lakini? Au unabwabwaja uchoko? Au unadhani ni anuani za mtaa?halafu kuna watu wanalaumu na kukejeli ujio wa Christiniaty tanzagiza kwamba kabla ya Ukristo kuja tulikuwa na dini zetu na maisha bora, sasa mnaona hana anwani tu hatuna, hayo masanduku machache ya posta ni Christians waliyajenga, lkn sehemu kubwa ya watanzagiza hawana anwani, kwa kifupi hawatambuliki na serikali kama raia wengi hawalijui hili, wengi wanaishi kama wanyama tu porini no address, no nothing, i blessed the day Wamishionari walivyotia mguu hapa kwetu, vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi …
Hata mataifa ya uarabuni hakuna Christianity na wapo wenye SLP. Pfft!halafu kuna watu wanalaumu na kukejeli ujio wa Christiniaty tanzagiza kwamba kabla ya Ukristo kuja tulikuwa na dini zetu na maisha bora, sasa mnaona hana anwani tu hatuna, hayo masanduku machache ya posta ni Christians waliyajenga, lkn sehemu kubwa ya watanzagiza hawana anwani, kwa kifupi hawatambuliki na serikali kama raia wengi hawalijui hili, wengi wanaishi kama wanyama tu porini no address, no nothing, i blessed the day Wamishionari walivyotia mguu hapa kwetu, vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi …
Kwamba kama hauna SLP serikali haikutambui? Wew jamaa Kisiju Moja sio?halafu kuna watu wanalaumu na kukejeli ujio wa Christiniaty tanzagiza kwamba kabla ya Ukristo kuja tulikuwa na dini zetu na maisha bora, sasa mnaona hana anwani tu hatuna, hayo masanduku machache ya posta ni Christians waliyajenga, lkn sehemu kubwa ya watanzagiza hawana anwani, kwa kifupi hawatambuliki na serikali kama raia wengi hawalijui hili, wengi wanaishi kama wanyama tu porini no address, no nothing, i blessed the day Wamishionari walivyotia mguu hapa kwetu, vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi …
Kwamba kama hauna SLP serikali haikutambui? Wew jamaa Kisiju Moja sio?
Hizo taarifa zipo kwenye namba ya NIDA wew zwazwa. Kuwa na SLP pia sio lazima. Kwa vile Leo TU ndo ninahuitaji. Unabwabwaja kumbe SLP hujui maana yake 🫵🏼 lolitakutambuaje kama haijui unapoishi, umezaliwa wapi? wazazi wako wanaitwaje, walizaliwa wapi? mwaka gani? wanaishi wapi? i mean > 70% ya watanzagiza hawana vyeti vya kuzaliwa hivyo haijui wana umri gani au tu kama wazazi wako ni wako kweli, tushukuru Mungu angalau kwa waliobahatika kubatizwa Kanisa lina records kwa maana walipewa vyeti vya ubatizo, its much deeper than that, kwa nini unafikiri watu wanahangaika kupata tu kitambulisho kama kweli ni raia kamili wanaotambulika? kitu kama kitambulisho kilipaswa kuwa straight forward kwa raia kamili wa nchi husika bila stress …
Hizo taarifa zipo kwenye namba ya NIDA wew zwazwa. Kuwa na SLP pia sio lazima. Kwa vile Leo TU ndo ninahuitaji. Unabwabwaja kumbe SLP hujui maana yake 🫵🏼 lol
Kawaambie matapeli wenu wa madhabahu
Tumia akili kufikiri, Serikali saivi inatambua watu wengi kupitia Sensa ambayo ilifanyika mwaka 2022, kwahiyo hata kama mtu hana cheti cha kuzaliwa bado serikali inamtambua sababu taarifa zake zimehifadhiwa kwenye database ya NBSitakutambuaje kama haijui unapoishi, umezaliwa wapi? wazazi wako wanaitwaje, walizaliwa wapi? mwaka gani? wanaishi wapi? i mean > 70% ya watanzagiza hawana vyeti vya kuzaliwa hivyo haijui wana umri gani au tu kama wazazi wako ni wako kweli, tushukuru Mungu angalau kwa waliobahatika kubatizwa Kanisa lina records kwa maana walipewa vyeti vya ubatizo, its much deeper than that, kwa nini unafikiri watu wanahangaika kupata tu kitambulisho kama kweli ni raia kamili wanaotambulika? kitu kama kitambulisho kilipaswa kuwa straight forward kwa raia kamili wa nchi husika bila stress …
Tumia akili kufikiri, Serikali saivi inatambua watu wengi kupitia Sensa ambayo ilifanyika mwaka 2022, kwahiyo hata kama mtu hana cheti cha kuzaliwa bado serikali inamtambua sababu taarifa zake zimehifadhiwa kwenye database ya NBS
Sijaona Kama Mtoa mada ameleta Hili swala Ili lijadiliwe kwa Mlengo wa Kidiniitakutambuaje kama haijui unapoishi, umezaliwa wapi? wazazi wako wanaitwaje, walizaliwa wapi? mwaka gani? wanaishi wapi? i mean > 70% ya watanzagiza hawana vyeti vya kuzaliwa hivyo haijui wana umri gani au tu kama wazazi wako ni wako kweli, tushukuru Mungu angalau kwa waliobahatika kubatizwa Kanisa lina records kwa maana walipewa vyeti vya ubatizo, its much deeper than that, kwa nini unafikiri watu wanahangaika kupata tu kitambulisho kama kweli ni raia kamili wanaotambulika? kitu kama kitambulisho kilipaswa kuwa straight forward kwa raia kamili wa nchi husika bila stress …
Sijaona Kama Mtoa mada ameleta Hili swala Ili lijadiliwe kwa Mlengo wa Kidini