Kama sikupata UKIMWI pale, basi sitapata

Kama sikupata UKIMWI pale, basi sitapata

Nilijichanganya kwa hawa wadada wa uswazi wavaa vijora halafu kijora chenyewe kuna namna kinawekwa, bega moja linakuwa kama linaoenekana, kiunoni kijora kinachomekwa kimtindo, yani upande mmoja kijora kunakuwa kurefu kwingine kufupi..!!!

Kama sikupata pale, sitokuja kupata tena na sitokuja kujichanganya tena kwa aina hiyo ya wadada.!!
 
Kila mwanaume ana sehemu hatari aliwa
kupita akasema

"kama sikupata UKWIMWI pale basi
sitaupata"
Ilikuaje?
.....Ilikuwa hivi,,,ghafla niliona mmhh mbona ngoma ipo tight namuna hii...kuja kushtuka condom imepasuka...lahaula...huku na kule kumbe niko mlango wa uani..mashallaaahh........utamu utamu....sasa kila bandiko oohh njia ile ni rahisi kuupata sasa...ishakuwa mtihani.....
 
Kuna muda unanichanganya mpaka unaogopa

Kwenye vikao vya ccm dodoma mwaka Jana nilijichanganya Sana aisee mpaka nilijuta.

Wasiwasi mwingi nimepima Mara 3 baada ya kutoka kule ila dodoma sio sehemu salama ukienda kule nenda kwa umakini lasivyo utakufa.

Ukimwi upo kila pahali ila dodoma Kuna uzinzi na ngono zembe Sana pengine kuliko mkoa wowote.

Sitarudia niliyoyafanya mwaka Jana kwenye vikao vya NEC.
 
Back
Top Bottom