Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,412
- 3,198
Kila mwanaume ana sehemu hatari aliyowahi kupita, akasema; ‘Kama sikupata UKIMWI pale basi sitaupata.’ Ilikuwaje kwako?
Ilikuwa bila kunyeshea majiIlikuaje?
Uchawi huo😀Pole na hongera
Vp umepima ?
Mzee wa kukwea mnaziIlikuwa bila kunyeshea maji
Pigilia Mhuri wa moto hapoMzee wa kukwea mnazi
Huo mnazi wake saiv utakua unabembea lelele kama embe mtini no power 😎Mzee wa kukwea mnazi
Hahahah hizo huwa story bnaHuo mnazi wake saiv utakua unabembea lelele kama embe mtini no power 😎
Haiwezi tokeaPima ✅️
Jitambue✅️
ishi kwa matumaini.✅️
Najua fix za humu 😄Hahahah hizo huwa story bna
Haya subiri mpka uzungukwe na jopo la madaktariHaiwezi tokea
Try me, Ndo utajua no power Au yes powerHuo mnazi wake saiv utakua unabembea lelele kama embe mtini no power 😎
NitajinyongaHaya subiri mpka uzungukwe na jopo la madaktari
Unajua jopo😁
HakunaaaTry me, Ndo utajua no power Au yes power
SauwaaaNitajinyonga
Staki stress🤣🤣
kimekulamba au bado?Kweli nilipiga ila alikuwa demu wa jamaa Fulani hivi
Tumekaa kama mwezi msiba mwamba amevuta na tetesi amekufa kwa ngoma
Daah mchepuko wa demu wake mbona nilihanya
Usisahau kubaki njia kuu