Kama sielewi elewi vile!

technology is cool.
 
Sasa hata akijigalagaza kwa kulia kaka yake harudi.

Tunajali sana misiba (raia mpaka rais) wakati mtu yupo hai hatujali vya kutosha.

Pengine hana hela ya nauli na kwa kufanya kazi anaongezea nauli na ubani.

Nyie mnafikiri kila mtu ana luxury ya kulia?
 
soma mada vizuri rafiki
huyu alienda salon kujipamba siyo kufanya kazi.
hatujaongelea kulia hapa, kulia ni fani za watu..... tunaongelea nduguyo kafa wewe unaenda kujipendezesha ili uende msibani
 
soma mada vizuri rafiki
huyu alienda salon kujipamba siyo kufanya kazi.
hatujaongelea kulia hapa, kulia ni fani za watu..... tunaongelea nduguyo kafa wewe unaenda kujipendezesha ili uende msibani

Wengine kujipamba ni sehemu ya kazi.

Anajipamba kisha anaenda kazini kukusanya nauli akiwa presentable.

Kwa hiyo mtu akifiwa kujipamba mwiko?

Au tushazoea msiba kwa formula, kila mtu awe mnyooonge? Unajuaje kama huyo kaka yake kaacha maagizo msiba wake hataki unyonge anataka watu wafurahie maisha yake?

Mimi msiba wangu -kama kutakuwa na msiba- kulia ni waste of energy, kutojiweka presentable eti kwa sababu ya msiba ni ushamba tu.

Bottom line, do you.

Humjui mtu, hujui historia yake, hujui alikuwa karibu kiasi gani na marehemu, utampangiaje msibani aende vipi?

Wabongo wengine tumezidi kupangiana maisha.
 
asante kwa bottom line.....
noted!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…