Amenikumbusha mbali dogo,hapo ukirudi nyumbani umepauka,mambo ya boriti-bajia,nije kumshika nani-nyani,nije nisije njoo.Ila katika kuogelea kuna staili ilikua inanitatiza inaitwa mk juu
Imenikumbusha mbali, basi unarudi umepauka na hapo mother anajua umetoka kuogelea na unakatazwa kuogelea, kinachofuata ni mbata za ngumu halafu unapewa chakula unakula huku umeshikwa na kwikwi ya hasira ya kichapo!