Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,325
- 152,136
Gazeti la The Guardian siku chache zilizopita liliwahi ripoti dondoo za bajeti ijayo ya serikali na kugusuia mpango wa serikali kutaka kutumia taasisi za umma zitumie huduma za kibiashara kutoka taasisi za umma zinazotoa biashara husika badala ya kutafuta huduma hizo kutoka kwenye makampuni binafsi.
Kwa mfano, watumishi wa umma watatakiwa kutumia ndege za serikali kwa safari za kikiza.
Habari hiyo kwa mujibu wa The Guardian unaweza kuisoma kupitia hii link hapa chini:
Kiama sekta binafsi chaja
Sasa kama lengo ndio hilo,ni kwanini Raisi na wasaidizi wake wasiwe mfano kwa kuitumia TBC na badala yake wana-promote vyombo binafsi vya habari?
Kama swala ni huduma nzuri na ubunifu wa vituo binafsi vya habari,ni kwanini basi watumishi wa umma nao wakawa huru kutumia shirika lolote la ndege litakalotoa huduma nzuri ikiwa ni pamoja na nauli za bei nafuu?
Wazungu wanasema, "Walk it like you talk it"