Kama Prof. Kabudi analia alikuwa jalalani (UDSM) na sie wanyonge si tuko chooni sasa?

Yaani Profesa kabisa anasema kaokotwa jalalani, duh mi sio naishi damposite kabisa maana hilo jalala linaweza kuwa lipo nyuma tu ya nyumba
Bora mimi ninaevuta ganja kuliko kabudi, maana nahisi anavuta nnya ya ndovu
 
Yaani Profesa kabisa anasema kaokotwa jalalani, duh mi sio naishi damposite kabisa maana hilo jalala linaweza kuwa lipo nyuma tu ya nyumba
Bora mimi ninaevuta ganja kuliko kabudi, maana nahisi anavuta nnya ya ndovu
Jalala liko kichwani
 
Siku akitumbuliwa nitakuja kuchangia hii mada,Ila akumbuke amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa.
 
Aisee
Screenshot_20190524-192012.jpeg
 
Duuh ama kweli huyu jamaa ni bonge la kilaza...tena anaelekea zile level za kua farasi...sasa unawezaje sema maneno kama haya ? Ipa huyu jamaa hua anapendaga sana kujifanya ni mnyenyekevu matokeo yake hua anaharibu sana mambo mpaka unaonekana ji faniki zee zima halafu linafiki daahh
 
KUTOKA JALALANI.

Na Thadei Ole Mushi.

Mwaka 2016 Raisi Magufuli alipoteua wakuu wa Mikoa, Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr Rajabu alikuwa maarufu Gafla.

Huyu ni yule mkuu wa mkoa aliyelia hadharani baada ya kuachwa kwenye uteuzi nafikiri mnakumbuka alivyokuwa analia kwa kusema nimekosa mimi,nimekosa mimi nimekosa sana huku akijifananisha na Yona wa kwenye biblia ili Raisi amuonee huruma.

Kwa taarifa tu huyu jamaa ni Dr wa Kilimo analia kwenye nchi yenye Rutuba na maji kila mahali huku yeye akiwa na elimu ya kilimo.

Kabudi ni Professor nguli kabisa wa Sheria amelitumikia taifa hili toka akiwa kijana mdogo kabisa mpaka akastaafu leo anatuambia kaokotwa jalalani.

Hawa ndio wasomi wetu wa viwango vya juu kabisa nchini, ndio wakiwa majukwaani wanawaambia wahitimu wa vyuo vikuu wakajiajiri. Yeye kaajiriwa mpaka kastaafu lakini anaona kama vile yupo jalalani.

Sasa kama yeye mkufunzi wa chuo kikuu alikuwa jalalani sisi huku tutakuwa wapi? Si chooni kabisa.

Anataka kuwaambia nini wakufunzi wenzake nchini? Anataka kuwaambia nini waajiriwa wa umma nchini? Anataka kuwaambia nini watanzania? Kuwa usipokuwa waziri kama yeye ni sawa na kwamba upo jalalani?

Kwa akili kama za kabudi unategemea amshauri nini Rais? Ndio maana Rais anawatukana kuwa ni wapumbavu kwa kuwa akili zao zote ni kulinda vyeo walivyonavyo wanamuachia Rais kazi zote afanye yeye.

Mimi namuomba Rais ikiwezekana awalambe vibao kabisa, au awacharaze viboko kabisa. Huyu siku akitumbuliwa lazma aseme kama Dr Rajabu kuwa nimekosa Mimi nimekosa sana.

Hakuna kinachonifurahisha kama Mh Rais kusema hadharani kuwa anawatukana kwenye Simu. Kwa akili hii kuna Professor hapa?

Ole Mushi
0712702602.
Kabisa mzee mpenda sifa sijawahi muelewa afu anajifanya anajua kiiiiiiiiila kitu nyau
 
Sasa ulisoma wapi mkuu? Wewe ndiyo utakuwa choo kabisa. Maana kama hukusoma UDSM basi utakuwa umeaoma Tandabui, SAUT, SJUT ama vyuo vya nje vyenye hadhi ya sekondari
Sasa mmegeuka kuumana😂😂
 
1.Kabudi = Udsm
2.Lipumb = Udsm
3.Yohana = Udsm
4. ???? Ongezeni majina
Hao wote hakuna walichogundua au walichobuni kuisaidia Tanzania na watu wake.

Badala yake wanakimbilia kwny siasa na uzushi uzushi na kujipendekeza.

Wasomi was Tanzania ni HOVYOO...!
 
Kabudi umeidhalilisha UDSM eroo, yaani umepaita pale ni JALALANI, inamaana waliopo pale wote ni VICHAA, na hawaokoti elimu ila wanaokota makopo na makombo ya vyakula vya jalalani.
Hapana jalala ni sehemu ya kutupa taka ndiyo. Lakini takataka ni nini? Nijuavyo mimi ni kisichofaa kwa matumizi kwa wakati huo na mazingira hayo. Kama ndivyo yuko sahihi. Kwamba msitaafu (hafai katika utumishi) kuwa chuoni akifanya kazi ni taka. Pia undergraduate hajafaa bado kwa utumishi hadi ahitimu.
Yote kwa yote sheria hutaka weledi mkubwa sana wa lugha na matumizi yake ikiwa pamoja na uteuzi wa maneno ya kutumia.
 
Back
Top Bottom