Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.

Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.

Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).

Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.

Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
 
Kuwaelewa mashabiki wa SIMBA yataka moyo sana
 
Yanga mbovu, hata aje Tuchel pale kazi bure
Wachezaji wa kuokotwa wale wa engineer hersi
 
Hapana subirini msimu uishe, ndipo mumwite ajisajilie kikosi chake na kukiandaa mwenyewe ili asitwishwe zigo lisilo lake!
 
kweli ukiwa utopolo akili zinahama hivi unaweza kulinganisha kurudi kwa Patrick Phiri na Kaze wakati Phili aliondoka kama kocha mkuu akarudi kwa cheo hichohicho wakati kaze aliondoka kama kocha mkuu anarudi kuwa msaidizi
kuanzia tarehe 26 kaze ndiye kocha mkuu ila itabidi wampe miezi mitatu ya kupata muunganiko, kazi wanayo utopwinyo
 
Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.

Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.

Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).

Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.

Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
Sasa wewe FALA kocha mwenye viwango vya juu ndio HANA HATA KOMBE? Acha UBWEGE. HIVYO VYETI BASI NI FEKI. I'LA KWA UJINGA WENU NA UZAMWAMWA WENU. Mnafurahia vyet FEKI za makocha wenu. AKILI HUNA INAWEZEKNAJE KWA UBORA HUO KIKOMBE ZEROOOOO. UTUMIE AKILI NGURUWE WEEEE

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.

Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.

Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).

Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.

Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
Usipoteze mda na Makolo ndugu...wengi wao wale ni vichwa mma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom