Kama Nyerere Angekuwa Hai Leo Angesema Nini?

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,463
21,901
Kama muasisi wa Taifa la JMT JK Nyerere angekua hai angekosoa au kuunga mkono mambo gani yanayofanywa na serikali hii ya awamu ya tano kama alivyofanya kwenye serikali za awamu ya pili na tatu?
 
Nyerere huyu 'aliyetunga' katiba inayosema matokeo ya ubunge na udiwani ruksa kuyapinga mahakamani isipokuwa ya urais tu?

huyu kakataza mikutano ya siasa. Wale wale tu.
Kafa 1999 , ujanja ujanja,uminyaji demokrasia,uchumi mbovu,wizi haujaanzia 2000
 
Kama muasisi wa Taifa la JMT JK Nyerere angekua hai angekosoa au kuunga mkono mambo gani yanayofanywa na serikali hii ya awamu ya tano kama alivyofanya kwenye serikali za awamu ya pili na tatu?

Angemuuliza Mungu kwa nini Magufuli hakuwa Raisi wa 1 wa TZ na yeye akaja baada ya Magufuli!
 
Back
Top Bottom