GE2025 Kama Nyerere angekuwa hai, angemuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
308
Reaction score
424
Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let.

Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya mbali na mpenda watu. Aliamini katika haki, mshikamano, elimu kwa wote na mapambano dhidi ya rushwa.

Leo hii, Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuibeba roho ya maono ya Mwalimu katika zama za kidigitali na soko huria. Kwa mantiki hiyo, nadiriki kusema kwamba, kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai hivi ile, isingeepukika kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu, dira zao zinagusana misingi ya uongozi wa haki na maendeleo kwa wananchi wote.

Tutazame maeneo kadhaa ya kiitikadi, siasa na maendeleo ya Mwalimu Nyerere ambayo Rais Samia Suluhu anayaishi vyema;

Huduma za Kijamii​

Mwalimu alianzisha sera ya elimu kwa wote, akijenga shule za msingi kila kijiji na kuhakikisha mtoto wa maskini na tajiri wanapata nafasi sawa.

Alisisitiza huduma za afya kwa watu wote kupitia zahanati na vituo vya afya vijijini. Kwa Nyerere, huduma za kijamii zilikuwa nguzo ya usawa.

Leo hii, Rais Samia ameendeleza urithi huo kwa kuwekeza kwenye ujenzi wa shule mpya za sekondari za kata, madarasa ya kisasa na vyuo vya ufundi. Katika afya, ameongeza hospitali za wilaya, vituo vya afya na upatikanaji wa vifaa tiba, kuhakikisha sera ya “afya kwa wote” inabaki hai.

Mapambano dhidi ya rushwa na uonevu​

Nyerere alichukia rushwa kwa moyo wote, akiwahi kusema “rushwa ni adui wa haki.” Aliamini kiongozi anapaswa kuishi kwa mfano. Vivyo hivyo, Rais Samia amejipambanua kwa kupinga matumizi mabaya ya ofisi, akisisitiza uwajibikaji na nidhamu serikalini.

Ameimarisha taasisi za kupambana na ufisadi na kubomoa mifumo ya ubadhirifu. Kama Mwalimu angekuwa hai, angemuona Rais Samia Suluhu kama kiongozi anayeendeleza vita ile ile aliyokuwa akiipigania.

Umoja na mshikamano​

Mwalimu alitamani taifa lenye mshikamano, huru na linalojitegemea. Aliamini katika mshikikano wa Afrika na diplomasia ya heshima

Rais Samia Suluhu ameendeleza fikra hizo kwa kupitia diplomasia ya kiuchumi, akililetea taifa uwekezaji kutoka nje bila kupoteza heshima ya uhuru wa taifa. Amejenga miundombinu mikubwa kama ya reli, barabara, bandari na miradi ya nishati safi ili taifa lijitegemee kiuchumi.

Ukitazama kwa upana zaidi, kila Mwalimu Nyerere alichopigania; elimu, afya, mshikamano, vita dhidi ya rushwa na kujitegemea, ndicho ambacho Rais Samia Suluhu anakifanyia kazi leo.

Kwa msingi huo, historia na uhalisia vinakubaliana: kama Baba wa Taifa angekuwa hai, angesema kwa sauti kubwa mbele ya Watanzania, “Samia Suluhu Hassan ndiye mwendelezo wa ndoto zangu".
 
Attachments

  • 20250827_1709_Symbolic Leadership Portrait_remix_01k3nxmft7ea181kdcf283dfhn.png
    20250827_1709_Symbolic Leadership Portrait_remix_01k3nxmft7ea181kdcf283dfhn.png
    2.9 MB · Views: 14

Acheni haya maujinga lile kaburi pale Mwitongo likatutumka
 
Mmoja alisema "katiba ndio msingi wa maendeleo katika taifa" alafu mmoja akasema "maendeleo hayaletwi na kijitabu" Asante
 
Nyerere ni Miongoni mwa Viongozi Wajinga waliotufikisha hapa tulipo
 
Kwa lipi???Huyo aendeleee kuungwa mkono na Kikwete inatosha.
 
Huyu ndiye namkubali. English imekaa
 
Attachments

  • ac4919845a67cea5d448ec7a7c178ac3_1755249848476.mp4
    5.1 MB

Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua. Mafala wenzio huko huko
 
Rubbish
 
Back
Top Bottom