Kama noma na iwe noma, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama noma na iwe noma,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vox Populi, Nov 8, 2010.

 1. Vox Populi

  Vox Populi Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kuna watu wanasema sana juu ya Dr. nina maana Dr. wa kweli "SILAHA" juu ya kwanini hakuhudhuria kwenye mahafali ya "Rahisi" hata tarehe ya kumtangaza na kumwapisha "Rahisi". Vox ninasema, alichokifanya Dr. Bravo, wache wafu wazike wafu wenzao bwana, na kwakuwa kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, kama si kenge au mamba uandamane ya nini? Vox nasema, demokrasia hainunuliwa kwa gharama rahisi, kamwe, inajumuisha kuumia moyo na kuteseka kwa ajili ya nchi na wananchi, natambua wazi kwamba mwisho wa hekima ni ubabe. Saa inakuja, tutakapokumbuka na kusema heri siku hizo zisingekuja!!!! Naam tutakuwa tumechelewa. Vox na quote mutatis mutandis: The doom of a nation can be averted only by a storm of flowing passion, but only those who are passionate themselves can arouse passion in others. Adolf Hitler
   
Loading...