Kama noma na iwe noma,

Vox Populi

Member
Oct 23, 2010
23
0
Kuna watu wanasema sana juu ya Dr. nina maana Dr. wa kweli "SILAHA" juu ya kwanini hakuhudhuria kwenye mahafali ya "Rahisi" hata tarehe ya kumtangaza na kumwapisha "Rahisi". Vox ninasema, alichokifanya Dr. Bravo, wache wafu wazike wafu wenzao bwana, na kwakuwa kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, kama si kenge au mamba uandamane ya nini? Vox nasema, demokrasia hainunuliwa kwa gharama rahisi, kamwe, inajumuisha kuumia moyo na kuteseka kwa ajili ya nchi na wananchi, natambua wazi kwamba mwisho wa hekima ni ubabe. Saa inakuja, tutakapokumbuka na kusema heri siku hizo zisingekuja!!!! Naam tutakuwa tumechelewa. Vox na quote mutatis mutandis: The doom of a nation can be averted only by a storm of flowing passion, but only those who are passionate themselves can arouse passion in others. Adolf Hitler
 
Back
Top Bottom