Kama noma na iwe noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama noma na iwe noma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masasi, Aug 18, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUKIKUMBUSHIANA JINSI WAZEE WETU WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIVYOTAABIKA NA MADAI YAO,KAULI YA VITISHO YA JK KWA TUCTA,HALI NGUMU YA MAISHA,MFUMOKO MKUBWA WA BEI,ONGEZEKO LA KISANII LA MISHAHARA,NADHANI NI KUSEMA INATOSHA,TWAHITAJI MABADILIKO,MUDA WA MABADILIKO NI SASA:smash::smash:
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  It can be done, play your part
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Inawezekana, anza sasa kuhamasisha wale hasa ambao kila wakati wanaimba sifa za jk na lichama lao!
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Huyo JK kura yangu October haipati alitubeza sana wafanyakazi kuwa hana shida na kura zetu
   
Loading...