Kufunguka kwangu hakujawa na roadmap , coz still kuna bwa'mdogo
Arushaone naona ni kama katumwa hivi, ama ni kwa matashi yake sijajua vzr, amekomaa kuwa rival wa mimi.
Infact now days hatugombanii malavidavi ! (hiyo imepitwa na wakati)
Tuna ugomvi na mavumba!
Btw wewe umenyuti kwa kutoonyesha msimamo between this two camps!